Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Grahams anaandika nnda wote huu...
Bado unataka nikutambulishe huyu shangaz angu au..

Ni impossible mkuu
 
Walikuwa na majina yao maalum Graham unayajua unabania vijana tujue vya old kama ni Gold πŸ˜‚
Hahaha...................Zamani Wanawake wote tulikuwa tukiwaita Kwa Majina mazuri mazuri tu mathalani Malikia, mrembo, Malaika, njiwa n.k yaani Majina ambayo yeye mwenyewe Mwanamke akisikia hata kama alikuwa ana ratiba ya kukunyima basi automatic atajikuta analegeza masharti πŸ€—

Sasa nyie Kwa Majina haya ya Mshangazi, akisikia si ataghairi kukukubalia 😜

Kingine Wanawake wa enzi zetu walikuwa PisiKali kweli, pamoja na kwamba walikuwa hawatumii lotion/perfumes za gharama walikuwa wananukia ile harufu yao ya asili.

Sio nyie hawa wa kwenu, ambao Kila Siku mnawaandikia nyuzi za malalamiko kuhusu harufu za KisamakiSamaki πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜…
 
Shikilia hapohapo master na ukieenda Kwa Allah utamwambia kwann unisahau kwenu kisa stareheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sa utafanyaje mzee wng maana nkikuuliza utasema anakufikisha peponi kama peponi umefika kuna nn hapo subri ukaonje na motoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shikilia hapohapo master na ukieenda Kwa Allah utamwambia kwann unisahau kwenu kisa stareheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sa utafanyaje mzee wng maana nkikuuliza utasema anakufikisha peponi kama peponi umefika kuna nn hapo subri ukaonje na motoni
 
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.

Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.

Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini dasalam.

Nakuachaje kwa mfano. Kwa hizi starehe.... πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Doh! Kwa hiyo unajiajir kwenye penzi Lake right?
 
Je hata wewe unamuachaje sasa......
Anakupa password yake....
Analipa vicoba kila week...
Nguo mpya....
Bado kila tukio upo nae...

Waza hivo alafu utakuja kujua how smart am i..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mali na kila kitu so mapenz mapenz na kipato vyt Vina nafc tofauti anaweza akalipa vicoba akakupa password kumbe mwenye mirathi kamficha nyumbani
 
Back
Top Bottom