Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeharibu uzi mwenyewe kwa kuwataja kina Mdee.Usiharibu mada. Jikite kwenye maudhui halisi ya mada.
Tena UWT kabisaWewe ni CCM bila shaka
Yupo nao UWTUmeharibu uzi mwenyewe kwa kuwataja kina Mdee.
SureUngewashauri kina Mde na covid 19 wenzake waungame kwanza kwa dhambi ya usaliti waliyofanya, waombe msamaha na waeleze kila kitu bila kuficha then itakuwa jukumu la wanachama na wala siyo Lissu kuwasamehe au hapana, huwezi kumsamehe mtu ambaye hajakiri kutenda kosa na kuomba asamehewe,
Tangu lini CCM mkatoa mada zenye maudhui yakujadili?Usiharibu mada. Jikite kwenye maudhui halisi ya mada.
Kina Halima Mdee ni wasaliti, waendelee tu huko CCM wakamtumikie kafiriUkweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
Good. Huyu mleta mada anataka Lisu aikaribishe najisi chamani!!??Ungewashauri kina Mde na covid 19 wenzake waungame kwanza kwa dhambi ya usaliti waliyofanya, waombe msamaha na waeleze kila kitu bila kuficha then itakuwa jukumu la wanachama na wala siyo Lissu kuwasamehe au hapana, huwezi kumsamehe mtu ambaye hajakiri kutenda kosa na kuomba asamehewe,
Pumbavu !!!Lissu hawezi akawa mwenyekiti hilo haliwezekani kabisaaa wachaga hawatakubali
Litakua kosa kubwa sana la kiufundi kuwarudisha hao wahuni. Kwanza walishafukuzwa kwenye chama muda mrefu tu. Hao waende tu wakaanze maisha yao huko CCM.Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
Niko Kalambo. Wana Mbunge wa Chadema alishinda 2020 ila hakutangazwa. Huku nako ni Uchagga?CHADEMA ni Mali ya wachaga kamwe hawatakubali kukabidhi mikonono mwa Lisu. Wachaga wana malengo bi nafsi na hii nchi na CHADEMA ndo silaha pekee waliyonayo.
Mbona Ninja alibadili gia? Alisema hagombei Uenyekiti, ghafla vuu nagombea! Hapo vipi? Siwataki Covid, vu bin vuuu nawataka, utasemaje?Lisu hawezi na hajawahi kukubali hiking kitu,hata sababu Moja wapo ni hayo mazonge/mazingaumbwe ya mwenyekiti na watu wake kwa wabunge wa COVID-19,haiwezekan mseme hamuwatambui covid-19 afu humo hump ni wake/mahawara wao wanapika na kupakua pamoja.
Time will tell,ninja akipita basi ndo tutaona kivumbi na ushindani wa kweli kuliko haya maigizo ya chairman
Hakika!Ungewashauri kina Mde na covid 19 wenzake waungame kwanza kwa dhambi ya usaliti waliyofanya, waombe msamaha na waeleze kila kitu bila kuficha then itakuwa jukumu la wanachama na wala siyo Lissu kuwasamehe au hapana, huwezi kumsamehe mtu ambaye hajakiri kutenda kosa na kuomba asamehewe,