Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

Utapewa CDM endapo utafuata utaratibu wote na hasa hasa wa kinidhamu; kitu pekee cha gharama kubwa ni kukilinda chama. Kama chama kitaingia katika.mikono isiyo salama lawama zote ni kwa Mh. Mbowe, kazi yote aliyoifanya miaka zaidi ya 30 itakuwa sifuri.
Kama Lissu hana baraka za uongozi wa sasa wa chama kwa hayo anayotaka kuyafanya basi tafsiri nyepesi ni mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…