Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Hakuna yaani. Sidhani kama wanafaidika kiivyoMtu akinionyesha mkulima mwenye tani 500 za mahindi store,nitampa milioni 5 bure.
Nasisitiza mkulima aliyelima na kuhifadhi tani 500 store.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna yaani. Sidhani kama wanafaidika kiivyoMtu akinionyesha mkulima mwenye tani 500 za mahindi store,nitampa milioni 5 bure.
Nasisitiza mkulima aliyelima na kuhifadhi tani 500 store.
Hakuna sababu za kujitetea kila siku kwa jambo lile lile. Kama mnaona mnafanya jambo sahihi, endeleeni tu kuuza.Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje.
Jambo hilo ni hatari sana Kwa mustakabali wa kilimo na wakulima wa Tanzania. Gharama za uzalishaji zimepanda sana, kila nyanja ya maisha vitu vimepanda je hayo mazao ya kilimo yakiuzwa bei chini nani atafidia gharama za ziada?
Mwaka ambao nililaani kilimo ni ule mwaka Serikali ilizuia mazao kuuzwa nje eti kwa sababu ya kulinda bei tuliuza gunia shs 30 elfu hata hivyo hapakuwa nawanunuzi. Kuna kipindi serikali ikatutangazia kuwa itanunua mahindi yetu sijui tani ngapi lkn haikusaidia chochote wakulima tukiendelea kusota na mazao.
Likiwa hilo halijapoa serikali ikakosana na wanunuaji wa mbaazi badala yake nikamsika manyanya anasema mbaazi ni tamu sana wakulima kuleni.
Ndugu zangu soko la uhakika na lenye bei nzuri la mazao yote ya kilimo ni muhimu sana kwa uhai na ukuaji wa kilimo kuliko kushinikiza mazao yashuke bei.
Nakumbuka mama alipo apishwa alizinguka sana kwa majirani kuomba waruhusu mazao ya Tanzania yauzwe kwao. Kuna wakati Kenya walisema mahindi yetu yana sumu ilileta maafa Kwa wakulima
Na huuu ndio ukweli usiopingika! Ukweli mtupu yani ukweli ulio uchi!Na kwa akili zenu mnadhani wakulima wanafaidika?
Wanaofaidika ni madalali. Mteja (tajiri) anatoka dar au nje ya nchi anaenda kijijini kutafuta mazao, madalali wanamdaka wanamwambia we tulia usihangaike sisi tutakutaftia kwa bei nzuri, wao ndo wanawajua wakulima, wanaenda wanawalangua kwa bei wanayo taka wao madalali, wakipeleka bidhaa kwa mteja wanapandisha cha kwao.
Sasa hiyo nimeongelea wale wakulima wa chini kabisa. Hamna faida ya tofauti wanayopata ila middle men ndo wanafaidika. Mkulima ukigoma kutoa mazao kwa bei wanayotaka wanaenda kusambaza mtaani kwamba bidhaa yako haina ubora. So ili visidode mkulima anaamua tu akubali.
Na kumbuka sio wakulima wote wenye uwezo wa kusafirisha mazao yao wenyewe kwenda nje. Wanawategemea madalali. Things are absurd kwa ground
Mwanzo nilikuwa Nakuona msomi siku izi umekuwa bure kabsa,sijui ndio unamendea uteuzi?Wavivu wanamchukia mno Bashe.
Na hizi ndizo akili za serikali iliyo jichokea, ya ccm! Wafanyabiashara wa mazao ndiyo wanaonufaika na huu mfumuko wa bei.Hapo wanaofaidika ni middlemen, wakulima wa chini wataendelea na hali zao zilezile kama hawauzi mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika
Acha ujinga basi, yule alichokuwa anaongea ni tofauti na anachotenda. Tena umetukumbusha kutuletea mfano hai. Ile familia ya Sumry waliokuwa wakilia mahindi yao kuharibika kwa kuzuiwa kuuza nje ilikuwa kipindi cha Rais Nyerere au?Tafuta video za nyuma. Anachoongea Bashe leo ndicho alichokuwa anakisema Magufuli.
Unaona sasa, yaani hao ndo tunadhani ni wakulima. Yeye unakuta alinunua gunia la kilo mia kwa elfu 80 hadi laki naa. Analiweka ghalani anasubiri bei ipande auze mara mbili hadi tatu ya bei. Alafu wanakuja kujiita wakulima. Alielima hata ile hela haikufika siku ya pili.Mdogo wangu kaanza kutoa mpunga wake huko Moro tani 180,lakini anajiita mkulima wakati huwa ananunua msimu wa mavuno na kuweka store kusubiri bei ipande ndio auze.
Viongozi wakikaa kwenye viti na kusubiri kuletewa ripoti sijui waelezwe situation na watu waliovaa tai I swear tutakufa njaa. Kama lengo ni kumsaidia mkulima basi wakakague huko mashambani waone hali ya maisha ya hao wakulima.Na huuu ndio ukweli usiopingika! Ukweli mtupu yani ukweli ulio uchi!
Mkulima havuni na kuweka ghalani anavuna na kuuza papo hapo kwa walanguzi, walanguzi wanaweka kwenye maghala wanasubiri msimu wa kupanda mazao wanaamua Bei wanayotaka!
Wamechukulia advantage zifuatazo:
1. Rais wa nchi kwa kinywa chake alitamka wazi wazi kuwa lazima bei za bidhaa zitapanda kwahiyo Kuna clear Goa ahead ya kupandisha Bei!
2. Serikali ilishaingiza fedha kwenye mafuta kustabilize Bei wakati gharama za ushafirishaji zilishapanda tayari kwahiyo hakuna kikichoshukq
3. Vita ya Ukraine na Uviko 19 imekua Chaka la kujificha kuanzia waziri wa fedha na wanasiasa wote wenye dhamana.
....
Wakikuelewa twambie tuko pale tuna chapa kazi.Wakulima mnaiwasema hamuwajui.
Sasa hivi wanao uza ni wafanya biashara. Wakulima wananunua vyakula pia.
Nahisi mnaishi nje ya hii nchi.
Waliuza Sasa hivi Wana Lia njaa. Serikali haiwezi kukwepa hii aibu.
Sasa free market economy ndio itakayotumaliza kwa sababu haimake sense. Hata mimi kama nina bidhaa ya kuuza halafu locally bei ni 200 ila nikienda soko la jirani nauza 1000 siwezi kukubali nikauza locally nitapambana nikauze buku tu.Free Market Economy.
Wakulima wauze popote wanapotaka.
Kama unataka kuuza hapahapa nchini lima uuze wewe.
Middle man kivipiHapo wanaofaidika ni middlemen, wakulima wa chini wataendelea na hali zao zilezile kama hawauzi mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika
Mashamba yapo Mzee njoon mlimeSasa free market economy ndio itakayotumaliza kwa sababu haimake sense. Hata mimi kama nina bidhaa ya kuuza halafu locally bei ni 200 ila nikienda soko la jirani nauza 1000 siwezi kukubali nikauza locally nitapambana nikauze buku tu.
Madhara yake ni kuwa hawa wa local nao watalazimika kununua buku badala ya Tsh. 200. Unawaumiza sababu uchumi wa ndani hau support kununua kwa buku lazma watu walalamike.
Una hela ya kunipa ili nilime au mnalimia mavuzi? Bila control ni upumbavu watu wanauzaga surplus huko nje sio hivi ambavyo inafanyika sahizi.Mashamba yapo Mzee njoon mlime
Huu ndio ubinafsi utakaoliangamiza hili taifa.Middle man kivipi
Juzi nimeuza tan 30
Kwa wastan wa kila gunia elfu 98
Mimi sijui dalali alipata nini kikubwa nimepata faida
Hata akipata buku kila gunia kikubwa Mimi nimepata faida yangu
Ni kweli kabisa. Mazao ni mali ya wakulima na si mali ya umma. Ni kama mtu anaye miliki biashara yoyote kama nguo, nyumba etc, na anauza keenye soko huria. Endapo serikali itazua wakulima wasiuze kwa bei ya soko/ushindani basi iwape ruzuku hili wasipate hasara🤣. Acheni wakulima wapige pesa msiwaingilie......ni kicheko kwao mwaka huu.Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje.
Jambo hilo ni hatari sana Kwa mustakabali wa kilimo na wakulima wa Tanzania. Gharama za uzalishaji zimepanda sana, kila nyanja ya maisha vitu vimepanda je hayo mazao ya kilimo yakiuzwa bei chini nani atafidia gharama za ziada?
Mwaka ambao nililaani kilimo ni ule mwaka Serikali ilizuia mazao kuuzwa nje eti kwa sababu ya kulinda bei tuliuza gunia shs 30 elfu hata hivyo hapakuwa nawanunuzi. Kuna kipindi serikali ikatutangazia kuwa itanunua mahindi yetu sijui tani ngapi lkn haikusaidia chochote wakulima tukiendelea kusota na mazao.
Likiwa hilo halijapoa serikali ikakosana na wanunuaji wa mbaazi badala yake nikamsika manyanya anasema mbaazi ni tamu sana wakulima kuleni.
Ndugu zangu soko la uhakika na lenye bei nzuri la mazao yote ya kilimo ni muhimu sana kwa uhai na ukuaji wa kilimo kuliko kushinikiza mazao yashuke bei.
Nakumbuka mama alipo apishwa alizinguka sana kwa majirani kuomba waruhusu mazao ya Tanzania yauzwe kwao. Kuna wakati Kenya walisema mahindi yetu yana sumu ilileta maafa Kwa wakulima
wewe ndiye mchawi wa wakulimaWewe acha ujinga, Kwanza tambua kwamba Hakuna Maisha kama Hakuna chakula na tambua kuwa njaa haina mbabe, ukitaka wazungu wachukue Mali zetu kirahisi basi ruhusu njaa katika nchi watakuletea chakula Kwa kubadilishana na Mali asili.
Pia naomba uelewe kuwa ni rahisi kuwanyamazisha wakulima Kwa kuwapa pungufu ya walichokistaili kuliko kuwanyamazisha watu wenye njaa,ukiwa rais unapaswa uelewe kuwa kitu muhimu kustable utendekaji WA mipango ya Maisha ya wanainchi.
Kwa maana kuendesha nchi lazima kutegemeane kama ilivyo mbugani ambako Wanyama wanaishi hivyo Kati ya wala nyasi na wala nyama, ikitokea kutokana na mungu alivyotengeneza mazingira yakaenda ndivyo sivyo basi Kuna kundi litaangamia.
Siishi kwenye matarajio ya mtu yeyote duniani. Ni kweli nategemea uteuzi wa kudumu kwenye moyo wa mama yako uanze kuniita baba.Mwanzo nilikuwa Nakuona msomi siku izi umekuwa bure kabsa,sijui ndio unamendea uteuzi?
Sasa free market economy ndio itakayotumaliza kwa sababu haimake sense. Hata mimi kama nina bidhaa ya kuuza halafu locally bei ni 200 ila nikienda soko la jirani nauza 1000 siwezi kukubali nikauza locally nitapambana nikauze buku tu.
Madhara yake ni kuwa hawa wa local nao watalazimika kununua buku badala ya Tsh. 200. Unawaumiza sababu uchumi wa ndani hau support kununua kwa buku lazma watu walalamike.