Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

Hakuna sababu za kujitetea kila siku kwa jambo lile lile. Kama mnaona mnafanya jambo sahihi, endeleeni tu kuuza.
 
Na huuu ndio ukweli usiopingika! Ukweli mtupu yani ukweli ulio uchi!

Mkulima havuni na kuweka ghalani anavuna na kuuza papo hapo kwa walanguzi, walanguzi wanaweka kwenye maghala wanasubiri msimu wa kupanda mazao wanaamua Bei wanayotaka!

Wamechukulia advantage zifuatazo:
1. Rais wa nchi kwa kinywa chake alitamka wazi wazi kuwa lazima bei za bidhaa zitapanda kwahiyo Kuna clear Goa ahead ya kupandisha Bei!

2. Serikali ilishaingiza fedha kwenye mafuta kustabilize Bei wakati gharama za ushafirishaji zilishapanda tayari kwahiyo hakuna kikichoshukq

3. Vita ya Ukraine na Uviko 19 imekua Chaka la kujificha kuanzia waziri wa fedha na wanasiasa wote wenye dhamana.
....
 
Hapo wanaofaidika ni middlemen, wakulima wa chini wataendelea na hali zao zilezile kama hawauzi mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika
Na hizi ndizo akili za serikali iliyo jichokea, ya ccm! Wafanyabiashara wa mazao ndiyo wanaonufaika na huu mfumuko wa bei.

Maana wakulima wengi walishauza kitambo mazao yao kwa bei ya hasara, kwa hao wafanyabiashara.
 
Tafuta video za nyuma. Anachoongea Bashe leo ndicho alichokuwa anakisema Magufuli.
Acha ujinga basi, yule alichokuwa anaongea ni tofauti na anachotenda. Tena umetukumbusha kutuletea mfano hai. Ile familia ya Sumry waliokuwa wakilia mahindi yao kuharibika kwa kuzuiwa kuuza nje ilikuwa kipindi cha Rais Nyerere au?
 
Mdogo wangu kaanza kutoa mpunga wake huko Moro tani 180,lakini anajiita mkulima wakati huwa ananunua msimu wa mavuno na kuweka store kusubiri bei ipande ndio auze.
Unaona sasa, yaani hao ndo tunadhani ni wakulima. Yeye unakuta alinunua gunia la kilo mia kwa elfu 80 hadi laki naa. Analiweka ghalani anasubiri bei ipande auze mara mbili hadi tatu ya bei. Alafu wanakuja kujiita wakulima. Alielima hata ile hela haikufika siku ya pili.

Serikali inadhani ime solve tatizo. Shida bado iko pale pale
 
Viongozi wakikaa kwenye viti na kusubiri kuletewa ripoti sijui waelezwe situation na watu waliovaa tai I swear tutakufa njaa. Kama lengo ni kumsaidia mkulima basi wakakague huko mashambani waone hali ya maisha ya hao wakulima.
 
Wakulima mnaiwasema hamuwajui.

Sasa hivi wanao uza ni wafanya biashara. Wakulima wananunua vyakula pia.

Nahisi mnaishi nje ya hii nchi.

Waliuza Sasa hivi Wana Lia njaa. Serikali haiwezi kukwepa hii aibu.
Wakikuelewa twambie tuko pale tuna chapa kazi.
 
Free Market Economy.

Wakulima wauze popote wanapotaka.

Kama unataka kuuza hapahapa nchini lima uuze wewe.
Sasa free market economy ndio itakayotumaliza kwa sababu haimake sense. Hata mimi kama nina bidhaa ya kuuza halafu locally bei ni 200 ila nikienda soko la jirani nauza 1000 siwezi kukubali nikauza locally nitapambana nikauze buku tu.

Madhara yake ni kuwa hawa wa local nao watalazimika kununua buku badala ya Tsh. 200. Unawaumiza sababu uchumi wa ndani hau support kununua kwa buku lazma watu walalamike.
 
Hapo wanaofaidika ni middlemen, wakulima wa chini wataendelea na hali zao zilezile kama hawauzi mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika
Middle man kivipi
Juzi nimeuza tan 30
Kwa wastan wa kila gunia elfu 98
Mimi sijui dalali alipata nini kikubwa nimepata faida
Hata akipata buku kila gunia kikubwa Mimi nimepata faida yangu
 
Mashamba yapo Mzee njoon mlime
 
Mashamba yapo Mzee njoon mlime
Una hela ya kunipa ili nilime au mnalimia mavuzi? Bila control ni upumbavu watu wanauzaga surplus huko nje sio hivi ambavyo inafanyika sahizi.
 
Middle man kivipi
Juzi nimeuza tan 30
Kwa wastan wa kila gunia elfu 98
Mimi sijui dalali alipata nini kikubwa nimepata faida
Hata akipata buku kila gunia kikubwa Mimi nimepata faida yangu
Huu ndio ubinafsi utakaoliangamiza hili taifa.
 
Ni kweli kabisa. Mazao ni mali ya wakulima na si mali ya umma. Ni kama mtu anaye miliki biashara yoyote kama nguo, nyumba etc, na anauza keenye soko huria. Endapo serikali itazua wakulima wasiuze kwa bei ya soko/ushindani basi iwape ruzuku hili wasipate hasara🤣. Acheni wakulima wapige pesa msiwaingilie......ni kicheko kwao mwaka huu.
 
wewe ndiye mchawi wa wakulima
 
Mwanzo nilikuwa Nakuona msomi siku izi umekuwa bure kabsa,sijui ndio unamendea uteuzi?
Siishi kwenye matarajio ya mtu yeyote duniani. Ni kweli nategemea uteuzi wa kudumu kwenye moyo wa mama yako uanze kuniita baba.
 
Wauze popote na sio kuzuia kuuza nchi mazao. Kuuza popote uchochea wengi kulima sababu kilimo kinalipa. Kilimo bila soko ni SAwa na gari bila mafuta.
Msizuie kuuza mazao nje ili ichochee wengi kulima.
 

Kama unataka usiwaumize locally lima na wewe ili muwe wengi bei ishuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…