Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

Acha ujinga basi, yule alichokuwa anaongea ni tofauti na anachotenda. Tena umetukumbusha kutuletea mfano hai. Ile familia ya Sumry waliokuwa wakilia mahindi yao kuharibika kwa kuzuiwa kuuza nje ilikuwa kipindi cha Rais Nyerere au?
Mtu mzima haitakiwi kuwa mshabikishabiki, ukishabikia wanasiasa.
 
Hapo wanaofaidika ni middlemen, wakulima wa chini wataendelea na hali zao zilezile kama hawauzi mazao yao kwenye vyama vyao vya ushirika
Kufunga mipaka ndiyo kulileta hao middlemen wanyonyaji. Ukifungua mipaka na wananchi wakiwa na kwingi kwa kuuza hutawaona "Walanguzi"
 
Mtu akinionyesha mkulima mwenye tani 500 za mahindi store,nitampa milioni 5 bure.
Nasisitiza mkulima aliyelima na kuhifadhi tani 500 store.
Hata sumry alisema ana gunia 46k ambazo ni sawa na tani kama 800 hiv na huyo ni top Farmer kwenye nch halafu unataka wa kawaida wawe na tani 500? Kuwa realistic bas

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Si mchezo akazie hapo hapo, ndio dawa ya kuvunja vijiwe. Mwakani hizi kelele hazitakuwepo, kwani wapiga kelele wote watakimbilia Shambani na kupigania mbolea za ruzuku.

Tajirisha mkulima, tokomeza njaa, ongeza hekari za kilimo na panua soko la chakula nje. Pazuri hapo!

Bashe kiboko yao!
 
Acha uwongo wewe,mi mbona siuzii madalali,na wenzangu pia hawauzii madalali..wakenya wanakuja tunawauzia wao moja kwa moja,unaleta story za kubumba hapa,kulima hulimi unakuna fangas kwenye korodani unaongea uwongo!!
 
Mbwa nini. Umesoma ukaelewa? Hujaona nimeandika hapo neno ‘sio wote’ na nimeandika wakulima wa chini. Kwani nimesema ni wakulima wote? So wakulima wote huko nje wanauzia wakenya hand to hand? Unatetea ujinga . Pumbaf na fungas zako kichwani.

Acha nisemee wakulima wa chini
 
Hao wakulima wa chini wa wapi Kama siyo uwongo na mazao gani!?..unajua hata utaratibu wakulima hutumia kuuza mazao yao!!!?..kalime ule kenge wewe,hakuna wa kukulimia kujaza Hilo puto lako juu ya kinena
 
We itakua ni punga. Sibishani na wapumbavu mimi.
 
Yani nyie ndo mnaoirudisha nchi nyuma na mlitakiwa muwe mnatupwa kwenye viroba!

Wewe mwenye access ya kuwapata wakenya moja kwa moja utajifananisha na mkulima anaevuna gunia 20 za mpunga? Nani atawasemea hao ikiwa mbwa kama nyie mnakuja kuvuruga tunapowasemea shida zao. Kama kwako kuna ahueni acha tuwaongelee wengine.

Ningekua nakujua wallahi ningekunasa makofi yasiyohesabika
 
We itakua ni punga. Sibishani na wapumbavu mimi.
Lima...mbuzi wewe,au nunua kwa Bei iliyopo uache kulia watu wapige hela,wakati tunahangaika shamba nyi mnanyonyana nyuchi vyumbani,kuuza mnataka mtupangie,kunyweni utoko mnaonyonyana wangese nyie
 
Hakuna access ya kuwapata wakenya moja kwa moja we mjinga,wakenya hufuata mpunga mashineni,atakutana na mkulima anayekoboa,atanunua na Kama haitoshi atapewa na huyo mkulima namba za wakulima wengine,mkenya anawapigia biashara inafanyika
 
Kwahiyo wakulima wote wanashinda ghalani kusubiri wateja. Unaongea kama mpuuzi.

Nimelima mpunga mbarali, kyela na ifakara. Unafika machineni unakuta watu wenye uwezo tu. Wakulima wengi hawakoboi wanauzia mazao shambani. Na matajiri wengi hawaendi mashambani wanaenda ghalani. Ghalani wananunua mpunga ambao watu wamenunua kutoka kwa wakulima mashambani tena kwa kukusanya. Matajiri wengi hawazunguki mashambani kwa direct farmers unless wawe na access.

Naongea kitu kwa experience yangu mbwiga we. Jinga sana wewe
 
Wapi mi nimeandika wakulima wanashinda ghalani!?..uelewa wako uko vipi!?..Mimi nimesema mashineni,Mimi binafsi huwa napigiwa simu na wakenya, wanyaruanda nk
 
Wapi mi nimeandika wakulima wanashinda ghalani!?..uelewa wako uko vipi!?..Mimi nimesema mashineni,Mimi binafsi huwa napigiwa simu na wakenya, wanyaruanda nk
Sasa kuna machine isiyo na ghala? Kumbe kweli we ndezi. Kwahiyo hao wakenya wote wana namba za wakulima wa mbarali wanaovuna eka moja moja.
 
Hoja zako zinalenga kuua kilimo mbolea Iko juu mafuta yako juu hivyo pembejeo zingine zote lazima ziwe juu Kwa muktadha huo unaweza kweli ukawanyamazisha wakulima ila njia hiyo inawaondoa watu wote wanaofikiri vizuri kwenye shughuli za kulima watabakia kulima wazee na wengine waliokata tamaa ya maisha. Hata kama chakula ni muhimu kiwango gani lakini lazima kipatikane Kwa gharama zitakazomlipa mlimaji kama hilo haliwezekani basi serikali iingilie Kwa kutoa ruzuku ya kutosha ili kushusha gharama za uzalishaji .
Huu utaratibu wa kumkandamiza mkulima eti tu Kwa kuwa ata Kaa kimya unakimbiza nguvu kazi kwenye kilimo
 
Hata sumry alisema ana gunia 46k ambazo ni sawa na tani kama 800 hiv na huyo ni top Farmer kwenye nch halafu unataka wa kawaida wawe na tani 500? Kuwa realistic bas

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Sumry tulikuwa tunanunua naye mazao kwa wakulima msimu wa mavuno au kabla,japokuwa pia alikuwa analima.
Wafanyabiashara wakubwa wa mazao wanazo mpaka tani 3000 store.

Huku Kusini msimu wa ufuta na korosho ni miamba mitatu tu ndiyo inavuma kuuza korosho kama wakulima wakati ni makangomba wakubwa sana, ila wanatumia nyadhifa zao kujificha.
 
Maraisi wote wa Tanzania walizuia mazao kuuzwa nje ilipobidi why picked on Magufuli?
Ebu tukumbushe kipindi cha Mwinyi na Kikwete walipofunga mipaka,maana mi sikumbuki kabisa kama ilitokea.
 
Sasa kwa nini hakuna mkulima anaye lalamika kwa bei za mazao kuwa juu na badala yake malalamika nyinyi msiyolima?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…