johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika mkuu!Naunga mkono hoja 100% maana wanapoteza pesa na muda. Bora wamuunge mkono JPM kama Mbatia na Cheyo walivyo wazalendo.
Kuna kitu umevuta leo, siyo bure.Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.
Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.
Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Nimevuta kamba!Kuna kitu umevuta leo, siyo bure.
Ni kwanini aseme yeye ndiye aachiwe kuwa mgombea pekee wa Urais na wenziwe wajitoe?Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.
Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.
Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Demokrasia ina gharama. Tumekubali mfumo wa vyama vingi, vinginevyo turudi kwenye mfumo wa chama kimoja.Naunga mkono hoja....
Maana kuna vyama vingine inajulikana wazi vinaenda kushindwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeelewa vizuri sana. Hiyo kamba ina moshi ambao umevuruga akili yako.Nimevuta kamba!