penhe
Member
- Jan 3, 2013
- 43
- 21
Hayo
Hayo ni mawazo yako. Nao walipongeza sababu waliowaweka kugombea hawawezi mtikisa Magufuli, wale ambao hawajafika hapo ndio wanaweza itikisa CCM uchaguzi huu ukiwa tu Ni huru na haki.
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.
Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.
Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Hayo ni mawazo yako. Nao walipongeza sababu waliowaweka kugombea hawawezi mtikisa Magufuli, wale ambao hawajafika hapo ndio wanaweza itikisa CCM uchaguzi huu ukiwa tu Ni huru na haki.