Uchaguzi 2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

Hayo
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!

Hayo ni mawazo yako. Nao walipongeza sababu waliowaweka kugombea hawawezi mtikisa Magufuli, wale ambao hawajafika hapo ndio wanaweza itikisa CCM uchaguzi huu ukiwa tu Ni huru na haki.
 
Sasa vyama vya siasa vilikuwepo kwa sababu gani? Chama chochote cha siasa kina azma ya kushinda uchaguzi na kuisimamia serikali, Sasa viongozi wa vyama vya upinzani mkiunga juhudi mnakua hamjaitendea haki demkrasia, Ingieni wote katika ushindani tuchekeche katika sanduku la kura.
 
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!

Nadhani sasa umeanini kuwa Magufuli hawezi siasa za ushindani, ndio maana anarudia mara kwa mara yeye abaki mwenyewe. Hao walioko hapo kina Lipumba nk hayo ni mapandikizi ya ccm, lazima yakubali
 
Sasa vyama vya siasa vilikuwepo kwa sababu gani? Chama chochote cha siasa kina azma ya kushinda uchaguzi na kuisimamia serikali, Sasa viongozi wa vyama vya upinzani mkiunga juhudi mnakua hamjaitendea haki demkrasia, Ingieni wote katika ushindani tuchekeche katika sanduku la kura.

Wanaanzisha vyama halafu hawana ubavu wa kupambana. UDP, TLP nk
 
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini yeye asioneshe mfano kwa kuwaunga mkono wengine hasa baada ya kuonesha uwezo mdogo kwenye uongozi wa nchi yetu
 
Hata mimi naunga mkono hoja, magufuli amuunge mkono lisu, ili tupunguze gharama, na kumwaga damu zisozo kuwa na hatia pale atakapo lazimishia ushindi.
 
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!

Mbatia, Cheyo na wajinga wengine ni aibu ya Taifa ........
 
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Mpwa unayumba sana [emoji16]
 
Ni kwanini aseme yeye ndiye aachiwe kuwa mgombea pekee wa Urais na wenziwe wajitoe?

Ni kwanini yeye Magu hasemi kuwa yeye atajitoa na kumuunga mkono Tundu Lissu awe mgombea pekee, ili kuokoa gharama za uchaguzi?
Ubinafsi
 
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Ccm tatizo ni mgombea mliyenaye hapo tu.
 
CCM mnachekesha sana. Nyie tu juzi kwenye kura sa maoni mmemtumia ujumbe huyo mwenyekiti wenu kuwa hamkubaliani nae kwa mambo yake ya ajabu kwa kuwaangusha watu wake na watu waliokuwa wanajitanabaisha kuwa watetezi wake. Alafu mnasema wapinzani wajitoe Kwenye uchaguzi. Kweli mmekosa sana akili nyie watu.

Hakuna rangi mtaacha ona CCM mwaka huu. Lissu ndo huyo yuko njiani kuja kuchukua uraisi wake wa Jamhuri ya Tanzania
Si vizuri kuidanganya nafsi yako mwenyewe
 
Hilo suala halipo hakuna cha kuunga juhudi, hao wachache waliotoka upinzani kwenda CCM wanatosha kwa uungaji juhudi.
Japo wamechinjiwa baharini na CCM kura za maoni na ikizingatiwa walitoka upinzani kwa kukashifu vyama na uongozi kwa ujumla.
 
Excellent proposal.
Kama kweli viongozi wa Chama vya siasa watakubaliana na wazo,hakika tutaufuta ukoloni mamboleo.
Hii itakuwa ni hatua moja muhimu kuelekea kwenye mfumo wetu na kushangaza Dunia.
 
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi.

Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na kupiga makofi kama ishara ya kufurahishwa na hoja hiyo kwa niaba ya wapinzani.

Nami kwa niaba ya CCM naunga mkono hoja hiyo kwa 100% nikiamini Chadema na ACT wazalendo nao wataunga mkono kwa manufaa mapana ya taifa.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Ulichokisahau kukiandika ni kuwa hakukuwa na haja ya hiyo tume wala jengo lake pia tusichague wabunge na madiwani maana fedha zingeokolewa vya kutosha!
 
Back
Top Bottom