Ni kweli mwanaume haamki tu na kukimbia familia au watoto, huwa inawezekana amekutana na mchepuko uliompumbaza, ulevi au kuchanganyikiwa.
Kuna wamama mkitengana akabaki na watoto, hataki hata kuchukua matumizi kwa ajili ya watoto ili mradi utengenezewe mazingira ya watoto kulishwa sumu juu yako.Kuachana na kutelekeza watoto ni vitu tofauti. Wewe unaachana na mama si watoto.
Nimekuuliza swali, wewe una watoto?
Hapa ulidai kalishwa sumu. Ulijuaje kalishwa sumu, ulikuwepo?Ukiwa na wiki 2 ulijuaje kama aliondoka na. Mwanamke mwingine? We unaamini tu sumu alizokulisha mama yako?
Hapa unadai uliuliza alijuaje baba yake aliondoka na mwanamke mwingine.Nimeuliza swali, amejuaje kama baba yake aliondoka na mwanamke mwingine? Si ajibu tu..
Kuna wamama mkitengana akabaki na watoto, hataki hata kuchukua matumizi kwa ajili ya watoto ili mradi utengenezewe mazingira ya watoto kulishwa sumu juu yako.
Nina watoto, ndiyo.
Hao watoto ukienda kuwatembelea shule, au kuwalipia ada, au kuwaandalia miradi huyo mkeo anakuja anakukaba shingo?Kuna wamama mkitengana akabaki na watoto, hataki hata kuchukua matumizi kwa ajili ya watoto ili mradi utengenezewe mazingira ya watoto kulishwa sumu juu yako.
Nina watoto, ndiyo.
kwanini ukiwa na mimba changa lazima uite wenzako mbwa?Kwani mamaako alikwambia babaako nani? Naona unatoa maneno kama ulilelewa na walevi. Umbwa hii
Hana sababu ya kujua kwanini mzee aliondoka nyumbani, hizo ni hearsay. Kilichopo na reality ni kwamba mzee aliondoka nyumbani na aliwaachia watoto mazingira magumu.Kujipatia tu ushaanza kuchukia wapenzi. Na haujawahi jua kwanini Mzee akiondoka nyumbani.
Tatizo sio kuacha familia, tatizo ni kutelekeza. Mtu aliyeajiriwa Tanga na kuoa na kupata familia, akihamishiwa Mwanza kikazi akaenda mwenyewe huyo anaacha familia ila anakuwa anaitunza.Kaa kwanza na wanawake ndio ujue kwa nini wazazi huwa wanaacha familia zao na kwenda kusiko julikana.
Baba yake mwenyewe anamchukia, mwanaume mwenye upendo unawezaje kuacha watoto katika mazingira magumu na mama asiye na kazi watoto wanaenda kutumikishwa mashambani they are exposed to torture and child abuse. Unajifanya kukimbia kisa mke, ila unaacha watoto na hujali miaka yote kwani nao ni wake zako?Cha msingi wewe endelea na maisha Yako .. chuki mwachie mama Yako..mpenzi wake na baba Yako.
kwanini ukiwa na mimba changa lazima uite wenzako mbwa?
Kama una watoto na unawapenda kutoka moyoni, je utakubali mtu aje awachukue kirahisi tu kwa kukutengenezea mazingira? Mwanaume mzima kwenye nchi inayoongozwa kistaarabu kama TZ?
Una uhakika nyie wote 8 baba yenu halali ni huyo unaemuita baba yako?mama yangu tangu aolewe na baba mwaka 1986 hadi leo hawawahi kuzaa na mwanamme mwngn tofauti na baba yangu mimi, na tuko watoto 8 je mama ni singe maza?
Nonsense;
Ushawahi jiuliza kwa nn kuna watoto wa mtaani?, unahisi hao watoto ni yatima wote?.
Unahisi wazazi wao wote ni wajinga?
Nikudokezee tu; hakuna vita yenye nguvu km vita ya familia, ni vita nyepesi lkn pia ni vita ngumu kuisha kuliko unavyodhani.
Vita ya familia kuna sehemu huwa inafika kwenye point ya NO RETURN.
Usitumie mihemko kujibu ili uonekane mwerevu
Kweli Mkuu.Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
Kweli Mkuu.
Mimi binafsi wazazi wangu waliachana tangu nikiwa na mwaka 1. Na nikalelewa na Mama pekee.
Mara nyingi tangu nikiwa mdogo mama amekuwa akinifanya nimchukue Baba, alikuwa akinijaza Maneno mabaya tu ya Baba. Kwamba Baba haunitaki, amenitoa zawadi Kwa Mama. Akawa anahasira nae sana Kila akimkumbuka.
Sasa Mimi nimekuwa mkubwa. Nimesoma Kwa shida sana Hadi nimemaliza chuo. Nimeipata kazi ni nimefunga ndio.
Kuna tukio Moja limenikuta. Nimemfumania live mke wangu akigegedwa na mtu mwingine. (Hii kitu isikie tu, usiombe ikukute nusu niue mtu). Nashukuru nikipata hekima za kimungu. Niliwaacha salama
Nilienda kumpa taarifa Mama kuwa nimemfumania mke wangu, hivyo naachana nae. Nikamsimulia kilakitu kichotokea kwenye like fumanizi.
Cha ajabu nikamuona mama anabubujikwa tu na machozi, akaniambia Mwanangu hayo matukio Yako yote unayonisimulia ndiyo yaliyonikuta Mimi Kwa Baba Yako Hadi akaniacha na wewe Mwanangu akakutelekeza.
(Nikajikuta namwambia mama huyu mwanamke siwezi kumsamehe hata akija Rais wa nchi, akiwa na bastola mkononi)
Kikubwa nilichojufunza ni kwamba wanawake Huwa hawasemi mabaya Yao Kwa watoto wao. Wanawajaza chuki tu watoto Kwa makosa yaliyosababishwa na wao wanawake.
Kuna Maneno makali ya kudhalilisha mume Huwa yanatamkwa na Hawa wanawake. Hayo ndio yanakuwa mwiba Kwa wanaume. Hayo Maneno ndio yanayowafanya watu wafanye mauaji au akutelekeze na kwenda kuanza Maisha upya. Na hata kukuachia mtoto.Umemfumania mkeo, sasa watoto makosa yao nini mpaka uwaache bila huduma yoyote?
That's the time you need to protect your children from these unfaithful people
Kuna Maneno makali ya kudhalilisha mume Huwa yanatamkwa na Hawa wanawake. Hayo ndio yanakuwa mwiba Kwa wanaume. Hayo Maneno ndio yanayowafanya watu wafanye mauaji au akutelekeze na kwenda kuanza Maisha upya. Na hata kukuachia mtoto.
Yakiwa hayajakukuta ndio utaona kama ni kitu kidogo.
Huyo dogo nimemwambia subiri akue atajua....Kweli Mkuu.
Mimi binafsi wazazi wangu waliachana tangu nikiwa na mwaka 1. Na nikalelewa na Mama pekee.
Mara nyingi tangu nikiwa mdogo mama amekuwa akinifanya nimchukue Baba, alikuwa akinijaza Maneno mabaya tu ya Baba. Kwamba Baba haunitaki, amenitoa zawadi Kwa Mama. Akawa anahasira nae sana Kila akimkumbuka.
Sasa Mimi nimekuwa mkubwa. Nimesoma Kwa shida sana Hadi nimemaliza chuo. Nimeipata kazi ni nimefunga ndio.
Kuna tukio Moja limenikuta. Nimemfumania live mke wangu akigegedwa na mtu mwingine. (Hii kitu isikie tu, usiombe ikukute nusu niue mtu). Nashukuru nikipata hekima za kimungu. Niliwaacha salama
Nilienda kumpa taarifa Mama kuwa nimemfumania mke wangu, hivyo naachana nae. Nikamsimulia kilakitu kichotokea kwenye like fumanizi.
Cha ajabu nikamuona mama anabubujikwa tu na machozi, akaniambia Mwanangu hayo matukio Yako yote unayonisimulia ndiyo yaliyonikuta Mimi Kwa Baba Yako Hadi akaniacha na wewe Mwanangu akakutelekeza.
(Nikajikuta namwambia mama huyu mwanamke siwezi kumsamehe hata akija Rais wa nchi, akiwa na bastola mkononi)
Kikubwa nilichojufunza ni kwamba wanawake Huwa hawasemi mabaya Yao Kwa watoto wao. Wanawajaza chuki tu watoto Kwa makosa yaliyosababishwa na wao wanawake.
Hivi unawajua ustawi wa jamii wewe??Umemfumania mkeo, sasa watoto makosa yao nini mpaka uwaache bila huduma yoyote?
That's the time you need to protect your children from these unfaithful people
Huyo dogo nimemwambia subiri akue atajua....Hivi unawajua ustawi wa jamii wewe??
Yaani umemfumania mwanamke ulikua unajinyima, unateseka kupamba apate kula!! Ukiwa bado na hasira anakupeleka mahakamani akishirikia na hao vijana wa ovyo afu eti watoto hupewi na ni lazma uwatuze!!!
MTANIUA akya Baba angu!!!
Kama unataka niwatunze watoto walete kwangu.
Tofauti na hapo acha watoto wanichukie milele!!!
It's better nichukiwe na watoto wangu kuliko wanipende (possibility ya kulishwa sumu na mama yao wakakuchukia hata kama unawatunza ni 99%) huku nikifa kwa sonona!!!!
I do believe damu ni nzito!!
KAMA MIMI NI BIOLOGICAL FATHER, WATANITAFUTA, WASIPONITAFUTA POTELEA POTE KWANI WAGUMBA NA TASA WALIMKOSEA NINI MUNGU?