Nakuchukia Baba yangu

Nakuchukia Baba yangu

Ni kweli mwanaume haamki tu na kukimbia familia au watoto, huwa inawezekana amekutana na mchepuko uliompumbaza, ulevi au kuchanganyikiwa.

Responsibility is about to sacrifice everything. Kuacha starehe, confort, kujinyima na kubadili mfumo wa maisha. To be there in any condition kwa ajili ya mtoto wako uliemleta Duniani. Huwezi kunipa cheap excuse eti mama alikuwa kiburi, are you kidding me? Hawa watu siwaelewi kabisa
 
Kuachana na kutelekeza watoto ni vitu tofauti. Wewe unaachana na mama si watoto.
Nimekuuliza swali, wewe una watoto?
Kuna wamama mkitengana akabaki na watoto, hataki hata kuchukua matumizi kwa ajili ya watoto ili mradi utengenezewe mazingira ya watoto kulishwa sumu juu yako.
Nina watoto, ndiyo.
 
Ukiwa na wiki 2 ulijuaje kama aliondoka na. Mwanamke mwingine? We unaamini tu sumu alizokulisha mama yako?
Hapa ulidai kalishwa sumu. Ulijuaje kalishwa sumu, ulikuwepo?
Nimeuliza swali, amejuaje kama baba yake aliondoka na mwanamke mwingine? Si ajibu tu..
Hapa unadai uliuliza alijuaje baba yake aliondoka na mwanamke mwingine.

Mwanzoni ulidai alilishwa sumu na mama yake ukidhani alikuwa na 2 weeks, ukagundua alikuwa mkubwa wa kuweza kutambua baba kaondoka. Then ukajifanya unauliza alijuaje.

Wewe ni miongoni mwa The Runners, mnaoamini mtafyatua tu mtaani alafu watoto wakikua watawatafuta?
Mwenyekiti wenu Mzee Nyembo baba yake Ommy Dimpoz, Makamu Mwenyekiti Mzee Abdul star wa "Dudu la Yuyu" baba yake Diamond.

Uzuri siku hizi wazazi uchwara hamuwezi kutoa laana, wanatoa laana waliowajibika tu.
 
Kuna wamama mkitengana akabaki na watoto, hataki hata kuchukua matumizi kwa ajili ya watoto ili mradi utengenezewe mazingira ya watoto kulishwa sumu juu yako.
Nina watoto, ndiyo.

Kama una watoto na unawapenda kutoka moyoni, je utakubali mtu aje awachukue kirahisi tu kwa kukutengenezea mazingira? Mwanaume mzima kwenye nchi inayoongozwa kistaarabu kama TZ?
 
Hao watoto ukienda kuwatembelea shule, au kuwalipia ada, au kuwaandalia miradi huyo mkeo anakuja anakukaba shingo?

Tufanye assumption mama hataki umpe mtoto mahitaji, kwahiyo unamzira mtoto?

Sasa kama unamzira mtoto kwa sababu ya mama yake na wewe ni mtu mzima, kwanini yeye akiwa mtu mzima asikuzile kwa sababu ya mama yake?

Kwanini kwako wewe kumzira iwe ni "sababu ya mama yake" alafu yeye akifanya hivyohivyo mnaita "kalishwa sumu".
 
Kujipatia tu ushaanza kuchukia wapenzi. Na haujawahi jua kwanini Mzee akiondoka nyumbani.
Hana sababu ya kujua kwanini mzee aliondoka nyumbani, hizo ni hearsay. Kilichopo na reality ni kwamba mzee aliondoka nyumbani na aliwaachia watoto mazingira magumu.
Kaa kwanza na wanawake ndio ujue kwa nini wazazi huwa wanaacha familia zao na kwenda kusiko julikana.
Tatizo sio kuacha familia, tatizo ni kutelekeza. Mtu aliyeajiriwa Tanga na kuoa na kupata familia, akihamishiwa Mwanza kikazi akaenda mwenyewe huyo anaacha familia ila anakuwa anaitunza.

Mtu aliyeamua kutafuta visingizio mara sijui mwanamke ana makosa, huwa anaacha watoto wakilala njaa anakwenda kutafuta malaya mwingine bar wakafuje mali. After some years anarudi amefubaa na kudai "mzazi hakosei, mimi ndio baba yako"
Cha msingi wewe endelea na maisha Yako .. chuki mwachie mama Yako..mpenzi wake na baba Yako.
Baba yake mwenyewe anamchukia, mwanaume mwenye upendo unawezaje kuacha watoto katika mazingira magumu na mama asiye na kazi watoto wanaenda kutumikishwa mashambani they are exposed to torture and child abuse. Unajifanya kukimbia kisa mke, ila unaacha watoto na hujali miaka yote kwani nao ni wake zako?

Wa kwanza mwenye chuki ni huyo baba bwege, huyu mtoto kafanya reciprocation.
 
Kuna jamaa yangu mmoja yuko hivihivi, messing around with other women dada wa watu kachoka kadai talaka. Sasa hivi mzee mzima yuko Zanzibar anajifanya beach boy.
Miaka inakatika hajui mwanae anaishi vipi, anadai mtoto wa kiume akikua atanitafuta tu. Ndio akili za hawa waheshiwa wetu hapa
 
Nonsense;
Ushawahi jiuliza kwa nn kuna watoto wa mtaani?, unahisi hao watoto ni yatima wote?.
Unahisi wazazi wao wote ni wajinga?
Nikudokezee tu; hakuna vita yenye nguvu km vita ya familia, ni vita nyepesi lkn pia ni vita ngumu kuisha kuliko unavyodhani.
Vita ya familia kuna sehemu huwa inafika kwenye point ya NO RETURN.
Usitumie mihemko kujibu ili uonekane mwerevu
Kama una watoto na unawapenda kutoka moyoni, je utakubali mtu aje awachukue kirahisi tu kwa kukutengenezea mazingira? Mwanaume mzima kwenye nchi inayoongozwa kistaarabu kama TZ?
 
mama yangu tangu aolewe na baba mwaka 1986 hadi leo hawawahi kuzaa na mwanamme mwngn tofauti na baba yangu mimi, na tuko watoto 8 je mama ni singe maza?
Una uhakika nyie wote 8 baba yenu halali ni huyo unaemuita baba yako?
 
Wanaume tusitafute visingizio, ugomv na mama, kivip usiwasaidie watoto wako? Mimi nmeishi mazingira ya hivyo na niliapa wanangu hawataish hivyo. Bahati mbaya au nzuri ikatokea nmepata mtoto wa pembeni, mwanamke akalazmisha kwamba ni wangu japo hatufanani, ukipiga hesabu za mimba hazikubali kwamba ni wangu. Familia yangu ilitaka tukapime DNA nikakataa nkasema ntamlea kama mwanangu sitaki ateseke, ikitokea wakaja kusema sio wangu mtoto ataamua mwenyewe
 
Nonsense;
Ushawahi jiuliza kwa nn kuna watoto wa mtaani?, unahisi hao watoto ni yatima wote?.
Unahisi wazazi wao wote ni wajinga?
Nikudokezee tu; hakuna vita yenye nguvu km vita ya familia, ni vita nyepesi lkn pia ni vita ngumu kuisha kuliko unavyodhani.
Vita ya familia kuna sehemu huwa inafika kwenye point ya NO RETURN.
Usitumie mihemko kujibu ili uonekane mwerevu

We can make productive reasoning without insulting each other.
Nimekuwa city centre of Dar es salaam, karibu kabisa na Dogodogo centre, kwahiyo najua kuna sababu tofauti zinazosababisha kuwa na watoto wa mitaani, but I don't understand your point.
Ukiongea kuhusu vita ya kifamilia, mimi binafsi as a father, nakuhakikishia hakuna mtu atachukua mtoto wangu. I'll protect them by any price.
Mkuu hapa anatuambia wametelekezwa na baba yao, hii mambo ya vita ya kifamilia ni story kutoka wapi?
 
Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!

Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
Kweli Mkuu.
Mimi binafsi wazazi wangu waliachana tangu nikiwa na mwaka 1. Na nikalelewa na Mama pekee.
Mara nyingi tangu nikiwa mdogo mama amekuwa akinifanya nimchukue Baba, alikuwa akinijaza Maneno mabaya tu ya Baba. Kwamba Baba haunitaki, amenitoa zawadi Kwa Mama. Akawa anahasira nae sana Kila akimkumbuka.

Sasa Mimi nimekuwa mkubwa. Nimesoma Kwa shida sana Hadi nimemaliza chuo. Nimeipata kazi ni nimefunga ndio.

Kuna tukio Moja limenikuta. Nimemfumania live mke wangu akigegedwa na mtu mwingine. (Hii kitu isikie tu, usiombe ikukute nusu niue mtu). Nashukuru nikipata hekima za kimungu. Niliwaacha salama

Nilienda kumpa taarifa Mama kuwa nimemfumania mke wangu, hivyo naachana nae. Nikamsimulia kilakitu kichotokea kwenye like fumanizi.
Cha ajabu nikamuona mama anabubujikwa tu na machozi, akaniambia Mwanangu hayo matukio Yako yote unayonisimulia ndiyo yaliyonikuta Mimi Kwa Baba Yako Hadi akaniacha na wewe Mwanangu akakutelekeza.
(Nikajikuta namwambia mama huyu mwanamke siwezi kumsamehe hata akija Rais wa nchi, akiwa na bastola mkononi)
Kikubwa nilichojufunza ni kwamba wanawake Huwa hawasemi mabaya Yao Kwa watoto wao. Wanawajaza chuki tu watoto Kwa makosa yaliyosababishwa na wao wanawake.
 
Umemfumania mkeo, sasa watoto makosa yao nini mpaka uwaache bila huduma yoyote?
That's the time you need to protect your children from these unfaithful people
 
Kuna Maneno makali ya kudhalilisha mume Huwa yanatamkwa na Hawa wanawake. Hayo ndio yanakuwa mwiba Kwa wanaume. Hayo Maneno ndio yanayowafanya watu wafanye mauaji au akutelekeze na kwenda kuanza Maisha upya. Na hata kukuachia mtoto.

Yakiwa hayajakukuta ndio utaona kama ni kitu kidogo.
 
Sawa, ukiwatelekeza nenda na usirudi. Sio utumie ujana wako huko urudi kutia huruma uzeeni eti baba ni baba
 
Kweli Mkuu.
Mimi binafsi wazazi wangu waliachana tangu nikiwa na mwaka 1. Na nikalelewa na Mama pekee.
Mara nyingi tangu nikiwa mdogo mama amekuwa akinifanya nimchukue Baba, alikuwa akinijaza Maneno mabaya tu ya Baba. Kwamba Baba haunitaki, amenitoa zawadi Kwa Mama. Akawa anahasira nae sana Kila akimkumbuka.

Sasa Mimi nimekuwa mkubwa. Nimesoma Kwa shida sana Hadi nimemaliza chuo. Nimeipata kazi ni nimefunga ndio.

Kuna tukio Moja limenikuta. Nimemfumania live mke wangu akigegedwa na mtu mwingine. (Hii kitu isikie tu, usiombe ikukute nusu niue mtu). Nashukuru nikipata hekima za kimungu. Niliwaacha salama

Nilienda kumpa taarifa Mama kuwa nimemfumania mke wangu, hivyo naachana nae. Nikamsimulia kilakitu kichotokea kwenye like fumanizi.
Cha ajabu nikamuona mama anabubujikwa tu na machozi, akaniambia Mwanangu hayo matukio Yako yote unayonisimulia ndiyo yaliyonikuta Mimi Kwa Baba Yako Hadi akaniacha na wewe Mwanangu akakutelekeza.
(Nikajikuta namwambia mama huyu mwanamke siwezi kumsamehe hata akija Rais wa nchi, akiwa na bastola mkononi)
Kikubwa nilichojufunza ni kwamba wanawake Huwa hawasemi mabaya Yao Kwa watoto wao. Wanawajaza chuki tu watoto Kwa makosa yaliyosababishwa na wao wanawake.
Huyo dogo nimemwambia subiri akue atajua....
Umemfumania mkeo, sasa watoto makosa yao nini mpaka uwaache bila huduma yoyote?
That's the time you need to protect your children from these unfaithful people
Hivi unawajua ustawi wa jamii wewe??

Yaani umemfumania mwanamke ulikua unajinyima, unateseka kupamba apate kula!! Ukiwa bado na hasira anakupeleka mahakamani akishirikia na hao vijana wa ovyo afu eti watoto hupewi na ni lazma uwatuze!!!

MTANIUA akya Baba angu!!!

Kama unataka niwatunze watoto walete kwangu.

Tofauti na hapo acha watoto wanichukie milele!!!

It's better nichukiwe na watoto wangu kuliko wanipende (possibility ya kulishwa sumu na mama yao wakakuchukia hata kama unawatunza ni 99%) huku nikifa kwa sonona!!!!

I do believe damu ni nzito!!

KAMA MIMI NI BIOLOGICAL FATHER, WATANITAFUTA, WASIPONITAFUTA POTELEA POTE KWANI WAGUMBA NA TASA WALIMKOSEA NINI MUNGU?
 
Huyo dogo nimemwambia subiri akue atajua....Hivi unawajua ustawi wa jamii wewe??

Yaani umemfumania mwanamke ulikua unajinyima, unateseka kupamba apate kula!! Ukiwa bado na hasira anakupeleka mahakamani akishirikia na hao vijana wa ovyo afu eti watoto hupewi na ni lazma uwatuze!!!

MTANIUA akya Baba angu!!!

Kama unataka niwatunze watoto walete kwangu.

Tofauti na hapo acha watoto wanichukie milele!!!

It's better nichukiwe na watoto wangu kuliko wanipende (possibility ya kulishwa sumu na mama yao wakakuchukia hata kama unawatunza ni 99%) huku nikifa kwa sonona!!!!

I do believe damu ni nzito!!

KAMA MIMI NI BIOLOGICAL FATHER, WATANITAFUTA, WASIPONITAFUTA POTELEA POTE KWANI WAGUMBA NA TASA WALIMKOSEA NINI MUNGU?

Mara nyingi tunaona wazee wakiwapakazi watoto zao kwamba hawawajali. Ukiamua kuondoka nenda usirudi kutafuta huruma uzeeni
 
Rudisha manii yake basi Acha kutangaza ujinga umavumbi ww utarudi mavumbini dunia tunapitaaa mambo yote yatabakia
 
Back
Top Bottom