PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari.

Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza Maelfu ya Watanganyika na Watanzania wa dini zote na hata wale wasio na dini.

Kwenye kuua umeua waislam na wakristo. Kwenye kuteka umeteka waislam na wakristo.

Ali Kibao aliyetekwa na kuuawawa na vikosi vyako alikuwa muislam. Sheikh Sharif Majini aliyeuwawa kwenye operesheni ya vikosi ulivyoleta kutoka Uganda na Zanzibar kuuwa Watanganyika ili ututawale alikuwa muislam.

Deonis Kipanya aliyetekwa na vikosi vyako na kupotezwa alikuwa mkristo. Chaula kijana ulitempoteza na kumuua kwa kuchoma picha yako alikuwa mkristo.

Watu wetu wengi waliouwawa na kupotea tena wengine wakiwa majumbani kipindi cha uchaguziwalikuwa ni waislam na wakristo.

Napenda kukwambia Samia. Tunajua umefeli. Hata Dunia inajua kuwa unalazimisha kuwa Rais wa Tanzania wakati Wananchi hawakutaki. Ni vizuri ukajua kwa hapa Tanganyika, Wakristo hawana shida na Waislam, pia Waislam hawana shida na Wakristo. Kete ya udini unayojaribu kuipandikiza eti unapingwa kwa kuwa ni Muislam imeshafeli mapema sana.

Kwa unayofanya unazidi kututhibitishia kuwa hufai na hustahili kuwa Kiongozi wa Tanzania na Tanganyika. Ni heri uondoke na utuachie Nchi yetu maana huna ridhaa yetu katika kutuongoza.
 
Pumbavu nyie ndio mnatrendisha huo udini hivi hamuwezi kukalisha matako yenu mkanyamaza kuongelea udini yaani Sasa hivi nyuzi kibao ni udini tu
Pumbavu mwenyewe. Hakuna udini utakao trend. Tunaukataa udini.

Samia anatuona sisi hatuna akili kiasi cha kudhani hatujui kuwa tatizo ni yeye na chama chake. Tunamwambia live kuwa sisi hatuna tatizo na udini tuna tatizo na yeye na Chama chake kwa namna wanavyotunyima haki na kutuonea.
 
Tatizo sio samia na chake bali Tatizo ni dini ya samia
 
... msimsingizie Samia, sijamsikia hata siku moja akitoa kauli yeyote ya udini kwenye majukwaa ya kisiasa!
SIASA ZITOKANAZO NA MATAMKO YANAYOFANYWA MADHABAHUNI HUZAA SIASA ZENYE CHUKI ZA KIDINI NCHI NZIMA!
 
Wewe ni mjinga kupindukia, wamekufa kwa risasi waislamu na wasio waislamu hivyo wanaoandamana ni kwa maslahi ya wote. Yule Shekh Sharif ni mkristo?
Acha upuuzi mbona kwa magufuli hamukuandamana, hao waliopigwa risasi kama wasingeandama kuna mtu angepigwa?
 
Pumbavu mwenyewe. Hakuna udini utakao trend. Tunaukataa udini.

Samia anatuona sisi hatuna akili kiasi cha kudhani hatujui kuwa tatizo ni yeye na chama chake. Tunamwambia live kuwa sisi hatuna tatizo na udini tuna tatizo na yeye na Chama chake kwa namna wanavyotunyima haki na kutuonea.
Unaukataa wakati unauongelea hivi unaakili timamu kweli
 
Yote haya yamesababishwa na huu muungano wa kijinga.Bila huu muungano tusingepata rais goigoi na asiye na manufa Kwa jamii kama huyu.Tumeuliwa maelfu na maelfu kwenye huu uchaguzi wa kihuni sababu tuMuungano wa kijinga umetusababisha kupata kiongozi wa Hivyo.Tarehe 9/December lazima kinuke. Bora kufa unapigania haki kuliko kuishi kwenye viongozi wa kihuni namna hii .
 
Acha upuuzi mbona kwa magufuli hamukuandamana, hao waliopigwa risasi kama wasingeandama kuna mtu angepigwa?
Mimi ni muislam ila wewe ni mjinga haswa, ndio nyie mnaotuabisha kuonekana waislamu kichwani ni empty. Hujui hata watu wanaandamana kwasababu ipi. Huyo magufuli mwenyewe alikosolewa na maskofu kipindi cha utawala wake.
 
Hoja ya kijinga hii. Mbona huulizi kwa nini hatukuandamana wakati wa Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Nyerere na Waingereza? Kwa nini wakati wa Magufuli tu!
We utakuwa msaharifu komba aliimba waache waandame wajinga wale? Unadhani alimanisha nini? Maandamano kwa mkapa na kikwete yamefanyika sana tu ila hayakuwa ya kupindua Rais. Sasa Maandamano haya ya 9d dhumuni ni kupindua Rais na sababu za msingi kupindua rais kisa ni mwisalam sasa hatuwez kukubali upuuzi huu.
 
Pumbavu nyie ndio mnatrendisha huo udini hivi hamuwezi kukalisha matako yenu mkanyamaza kuongelea udini yaani Sasa hivi nyuzi kibao ni udini tu
Waambie hao masheikh wenu wanao filana kwanza wakalishe mikundu yao chini maana nao kutwa wapo na media
 
Back
Top Bottom