PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
We utakuwa msaharifu komba aliimba waache waandame wajinga wale? Unadhani alimanisha nini? Maandamano kwa mkapa na kikwete yamefanyika sana tu ila hayakuwa ya kupindua Rais. Sasa Maandamano haya ya 9d dhumuni ni kupindua Rais na sababu za msingi kupindua rais kisa ni mwisalam sasa hatuwez kukubali upuuzi huu.
Kwa hiyo sababu ya kupinduliwa ni uislam wake!

Na siyo kukithiri kwa uvunjifu wa haki za raia! Mfano haki ya kuishi, kukithiri kwa vitendo vya utekaji, kubambikia wapinzani kesi, kunyima watu haki ya kuchaguliwa na kuchagua viongozi wanao wapenda, kuruhusu rushwa na vitendo vya ufisadi, kunyanyasa raia kupitia genge la mtoto wake, na kila aina ya uovu!!

Hakika wewe na hao wenzako mtakuwa na matatizo. Siyo bure.
 
Uliyotaja hapo niambie ni lipi magufuli hakufanya? Najua hutalipata je kuna mtu ulimuona hata kaandika hashtag ya magufuli must go achalia mbali kuingia road? Jibu linakuja hawakufanya hivyo sababu magu ni mla nguruwe na samia hali.
 
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari.

Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza Maelfu ya Watanganyika na Watanzania wa dini zote na hata wale wasio na dini.

Kwenye kuua umeua waislam na wakristo. Kwenye kuteka umeteka waislam na wakristo.

Ali Kibao aliyetekwa na kuuawawa na vikosi vyako alikuwa muislam. Sheikh Sharif Majini aliyeuwawa kwenye operesheni ya vikosi ulivyoleta kutoka Uganda na Zanzibar kuuwa Watanganyika ili ututawale alikuwa muislam.

Deonis Kipanya aliyetekwa na vikosi vyako na kupotezwa alikuwa mkristo. Chaula kijana ulitempoteza na kumuua kwa kuchoma picha yako alikuwa mkristo.

Watu wetu wengi waliouwawa na kupotea tena wengine wakiwa majumbani kipindi cha uchaguziwalikuwa ni waislam na wakristo.

Napenda kukwambia Samia. Tunajua umefeli. Hata Dunia inajua kuwa unalazimisha kuwa Rais wa Tanzania wakati Wananchi hawakutaki. Ni vizuri ukajua kwa hapa Tanganyika, Wakristo hawana shida na Waislam, pia Waislam hawana shida na Wakristo. Kete ya udini unayojaribu kuipandikiza eti unapingwa kwa kuwa ni Muislam imeshafeli mapema sana.

Kwa unayofanya unazidi kututhibitishia kuwa hufai na hustahili kuwa Kiongozi wa Tanzania na Tanganyika. Ni heri uondoke na utuachie Nchi yetu maana huna ridhaa yetu katika kutuongoza.
FB_IMG_1763577787697.jpg
 
Tatizo sio samia na chake bali Tatizo ni dini ya samia
Ujinnga wa samuya haufananishwi na kiongozi mwingine yeyote aliyetangulia so anastahili anachokipata kutoka kwa wananchi!
Swali dogo, nitajie kiongozi mwingine mtangulizi yeyote aliyethubutu kumteua mwanae kuwa kiongozi japo wa kata??.
Achilia mbali mtt mwenyewe ana elimu ya hapa na pale!
 
Nitajie kifungu cha katiba au sheria kinachozuia rais asiteue mwanaye, kama katiba inaruhusu kwani kuna ubaya gani?
 
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari.

Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza Maelfu ya Watanganyika na Watanzania wa dini zote na hata wale wasio na dini.

Kwenye kuua umeua waislam na wakristo. Kwenye kuteka umeteka waislam na wakristo.

Ali Kibao aliyetekwa na kuuawawa na vikosi vyako alikuwa muislam. Sheikh Sharif Majini aliyeuwawa kwenye operesheni ya vikosi ulivyoleta kutoka Uganda na Zanzibar kuuwa Watanganyika ili ututawale alikuwa muislam.

Deonis Kipanya aliyetekwa na vikosi vyako na kupotezwa alikuwa mkristo. Chaula kijana ulitempoteza na kumuua kwa kuchoma picha yako alikuwa mkristo.

Watu wetu wengi waliouwawa na kupotea tena wengine wakiwa majumbani kipindi cha uchaguziwalikuwa ni waislam na wakristo.

Napenda kukwambia Samia. Tunajua umefeli. Hata Dunia inajua kuwa unalazimisha kuwa Rais wa Tanzania wakati Wananchi hawakutaki. Ni vizuri ukajua kwa hapa Tanganyika, Wakristo hawana shida na Waislam, pia Waislam hawana shida na Wakristo. Kete ya udini unayojaribu kuipandikiza eti unapingwa kwa kuwa ni Muislam imeshafeli mapema sana.

Kwa unayofanya unazidi kututhibitishia kuwa hufai na hustahili kuwa Kiongozi wa Tanzania na Tanganyika. Ni heri uondoke na utuachie Nchi yetu maana huna ridhaa yetu katika kutuongoza.

View: https://youtu.be/F6fI9bgdffU?si=ly3Fewwj-jWCHNYf
 
AMEYATAKA, ATAYAPATA!

Tuna muungano wa KICHOKO SANA!

Mzanzibar kuwa raisi Tanganyika ✅️
MTANGANYIKA kuwa raisi Znz ✖️
Mkristo kuwa Raisi Znz ✖️
Mwislamu kuwa Raisi Tanganyika ✅️

Kama huuu Sio Us.enge Ni nini?!

#BringBackOurTANGANYIKA
 
Siku hz sisikii cha JWTZ..

HYO NDO MBINU MLIOBAKI NAYO...

nakukumbusha tu jana mh rais alipata tuzo kutokea huko RABAT jana usiku na ilipokelewa na GERSON MSIGWA..hapo vipi?
 
Friday:John said Ijumaa Kareem ndugu Abuu.
Sunday:Abuu said Jumapili kareem 'blaza' John
Siijua Tanzania nyengine zaidi ya hii tangu utotoni.
 
Back
Top Bottom