King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Haongozi kwa mujibu wa tamaduni bali katiba make zipo tamaduni zinakinzana na katiba!Sio utamaduni wetu hii sio monarch state
Haongozi kwa mujibu wa tamaduni bali katiba make zipo tamaduni zinakinzana na katiba!Sio utamaduni wetu hii sio monarch state
Wapo wanaoamini sasaKwa sababu siamini ktk maandamano, na pia miaka yote nimekuwa pro government
Huo muda mchafu polisi walikuwa hawana, sababu tangia mapema mashinikizo ya kuandamana yamejikita kumtoa rais mwisalamWaliopigwa risasi wote walikuwa wanaulizwa ni dini gani kwanza ndio unapigwa risasi?
Walipaswa waanze kwa magufuliWapo wanaoamini sasa
Jinga wewe kwani wameanza leo, hayo unayosema mla nguruwe magufuli aliyafanya kwa weredi na ustadi mkubwa mbona hamkuandamana kumtoa kwenye kiti?Cheki hili zwazwa. Watu wanapotea, watu wanauliwa unaleta uzwazwa wako wa madrasa?
Apo walikuachia uanze weweWalipaswa waanze kwa magufuli
Fuatilia tulikuwepo na tupo. Umejiunga lini jf? Wengine misimamo yetu Iko palepale achana na akina stuxnet ambao wakilambishwa asali wanafyata mikiaJinga wewe kwani wameanza leo, hayo unayosema mla nguruwe magufuli aliyafanya kwa weredi na ustadi mkubwa mbona hamkuandamana kumtoa kwenye kiti?
Ndio maana tukisema haya maandamano kisa ni uislam wa samia muwe mtuelewa jamani!!Apo walikuachia uanze wewe
Kwa magu Maandamano mlifanyia kwenye keyboard na kwa samia mkifanyia kwenye keyboard hakutakuwa na tatizo!Fuatilia tulikuwepo na tupo. Umejiunga lini jf? Wengine misimamo yetu Iko palepale achana na akina stuxnet ambao wakilambishwa asali wanafyata mikia
Mbona unalinganisha mambo yasiyofanana?We linganisha anachofanya samia ni kipi hakufanya magufuli? Je kwa magufuli uliona mtu anaingia road?
Kila la kheri. Siku zote umma hushindaKwa magu Maandamano mlifanyia kwenye keyboard na kwa samia mkifanyia kwenye keyboard hakutakuwa na tatizo!
Magufuli kateka na kuuwa wengi zaidi lkn pia ndo ni mentor mkuu wa hayo majamboMbona unalinganisha mambo yasiyofanana?
Magufuli aliteka na kuuwa watu wengi kama Sa100?
Kwenye uchaguzi Magufuli aliua maelfu ya wananchi kama Sa100?
Huo muda mchafu polisi walikuwa hawana, sababu tangia mapema mashinikizo ya kuandamana yamejikita kumtoa rais mwisalam
Dogo hujui kitu, wacha kubwabwaja pumba.Kwenye uchaguzi Magufuli hakuuwa sababu hamkuandamana na sababu za kutoandamana ndo hizo sababu ni mla nguruwe mwenzenu!
Kisa ukosefu wa haki tu uislam sio issues kabisa labda uwe na fikra finyuNdio maana tukisema haya maandamano kisa ni uislam wa samia muwe mtuelewa jamani!!