Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

mkuu achague moja msaada au mahabusu😀😀😀
 
Tuacheni mazoea basi, mimi nimejiweka wazi kabisa ili nisaidiwe, ajabu watu mnasema mimi ni tapeli! Acheni hivo, Unaposema mimi ni tapeli, Umekaa na mimi nikakufanyia utapeli?
Au umekuja sehemu nilipo na hujanikuta? Tuacheni mambo ya utani jamani kwa inshu muhimu kama hizi za kusaidiana. Leo inanitokea mimi, kesho itakupata wewe, hata kama haitakupata wewe, itampata mwanao au hata mjukuu wako. Kuna mtu amenipigia simu anasema nimsubiri, muda wa mchana anakuja kunichukua hapa nilipo. Asanteni, nawasilisha! Kama mpaka hapo hujanielewa, basi endelea na unavyo amini kuhusu mimi.
 
manengelo anaonekana ni mkarimu sana.

Ngariba acha zako..huyu ni ndugu yako ..mkimbiz wa nchi yako..toa msaada wa hali na mali ww..mie km sumwamin sana..ila acha tuamin..
Sijui ana muscles aje nisaidia kukata fence🙊🙊🙊🙈🙈...unanishaurije😂😂😂!akiwa na umbo km avatar yako kwisha habari yake..tutamlea tu
😊😊cc@demi
 


pole kaka ...sema km una kaukomedi fulan hv maana mm nacheka tu hapa... siku ukikosa ya kula nipm😊..ukikosa pakulala nipiyemu.....
 

😂😂zurura kidg na leo mkuu...pole bwana...lakini si umekula?
 
Hata hamna neno mmoja ya shukrani kwa yule jamaa. Hata akiwa shoga, bado alikulisha chakula na kukupatia sehemu ya kulala. Tena ametoa Sh 600, ya nauli kwenda Kariakoo! Umemalizia kusema "Na hapa nimeachana nae", na unamsubiri mtu mwingine. Shukrani mbona imekua adimu namna hii duniya hii????!
 
Nauli unayo ulipo? Kama unayo uliza mtu nataka kwenda tabata barakuda ukifika hapo kituoni ni pm namba yako /
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…