Sio anaweza kuwa tapeli...huyu jamaa ni tapeliNadhani zile lawama za kudai jamaa anaweza kuwa tapeli ndo zimapelekea hiyo ishuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
ashapata mfadhili.. yupo magari 7..huyu km angekuwa tapeli asingefika ht magari 7Daah nimeamka kuendelea na Episodes nakuta hola!
Mpigie simu bhaaana me sina salio la vodaHata sielewi, ndiyo kwanza nafika hapa.
PM sijapokea namba yoyote, ila simu napigiwa sana, kwahiyo siwezi kujua ni nani ananipigia. Isitoshe wote wanaopiga simu, hawajitambulishi. Kwahiyo kama yupo hapa huyo Wa Barakuda, ningependa anipigie na aseme kuwa yeye ni yule wa Barakuda. Asante!Yule mtu wa Barakuda ni kweli jana alikutumia namba yake ya simu PM na kwenye msg ya kawaida? Hem tujulishe basi unajua wengine tunachungulia hapa kutizama ulipofikia naona unapuuzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohoo tena mkuu....Sio anaweza kuwa tapeli...huyu jamaa ni tapeli
sasa tuliza akili huko mjini mdogo wangu..usiingie kwenye makundi utajikuta unaishia kuwekwa lockup mbezi pale..changamka jitume kaa bidii utatokaPM sijapokea namba yoyote, ila simu napigiwa sana, kwahiyo siwezi kujua ni nani ananipigia. Isitoshe wote wanaopiga simu, hawajitambulishi. Kwahiyo kama yupo hapa huyo Wa Barakuda, ningependa anipigie na aseme kuwa yeye ni yule wa Barakuda. Asante!
Hahhahahahhaha muone!Mpigie simu bhaaana me sina salio la voda
I agree with you.ashapata mfadhili.. yupo magari 7..huyu km angekuwa tapeli asingefika ht magari 7
Sasa aise unatusingizia mbona wengine tumejitambulisha [emoji23][emoji23]PM sijapokea namba yoyote, ila simu napigiwa sana, kwahiyo siwezi kujua ni nani ananipigia. Isitoshe wote wanaopiga simu, hawajitambulishi. Kwahiyo kama yupo hapa huyo Wa Barakuda, ningependa anipigie na aseme kuwa yeye ni yule wa Barakuda. Asante!
Karibu tuonane, miss wangu Shunie kakimbilia South sijuiHahhahahahhaha muone!
Dogo akinipa namba yako namgawia shamba la urithi ahahahahahhahahahSasa aise unatusingizia mbona wengine tumejitambulisha [emoji23][emoji23]
Dogo mwaminifu hawezi kutoa hahahhahaDogo akinipa namba yako namgawia shamba la urithi ahahahahahhahahah
ulimpgia?Dogo mwaminifu hawezi kutoa hahahhaha
dahh jaman siriz yetu imefyekelewa mbali😣😣😣Daah nimeamka kuendelea na Episodes nakuta hola!
Si bora wangeuunganisha huku?@Mod
Paw
Invisible
JamiiForums
Maxence Melo
Tunaomba ufafanuzi kwanini mmefuta Uzi wa kijana huyu kama kuna tatizo tufaamishwe ili tuweze kumshughulikia kama anavyostahili.
Siwezi kesha kumbe kuna tatizo somewhere afu nkalicha lipite hivihivi, labda nife kabla sijajibiwa. Impossibility inaweza kuja PM
zi njema dogoMkuu, wewe umejitambulisha, ila walio wengi, japo sio wote, Hawajitambulishi. Naimani mama umenhelewa, na muda huu huyu mwenyeji wangu ameniambia twende kazini kwake. Asanteni