Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Yule mtu wa Barakuda ni kweli jana alikutumia namba yake ya simu PM na kwenye msg ya kawaida? Hem tujulishe basi unajua wengine tunachungulia hapa kutizama ulipofikia naona unapuuzia

Sent using Jamii Forums mobile app
PM sijapokea namba yoyote, ila simu napigiwa sana, kwahiyo siwezi kujua ni nani ananipigia. Isitoshe wote wanaopiga simu, hawajitambulishi. Kwahiyo kama yupo hapa huyo Wa Barakuda, ningependa anipigie na aseme kuwa yeye ni yule wa Barakuda. Asante!
 
sasa tuliza akili huko mjini mdogo wangu..usiingie kwenye makundi utajikuta unaishia kuwekwa lockup mbezi pale..changamka jitume kaa bidii utatoka
 
PM sijapokea namba yoyote, ila simu napigiwa sana, kwahiyo siwezi kujua ni nani ananipigia. Isitoshe wote wanaopiga simu, hawajitambulishi. Kwahiyo kama yupo hapa huyo Wa Barakuda, ningependa anipigie na aseme kuwa yeye ni yule wa Barakuda. Asante!
Sasa aise unatusingizia mbona wengine tumejitambulisha [emoji23][emoji23]
 
@Mod
Paw
Invisible
JamiiForums
Maxence Melo

Tunaomba ufafanuzi kwanini mmefuta Uzi wa kijana huyu kama kuna tatizo tufaamishwe ili tuweze kumshughulikia kama anavyostahili.

Siwezi kesha kumbe kuna tatizo somewhere afu nkalicha lipite hivihivi, labda nife kabla sijajibiwa. Impossibility inaweza kuja PM
Si bora wangeuunganisha huku?
 
Back
Top Bottom