Kuna mtu amesema mimi ninajikweza, ndiyo maana nikamwambia kuwa, mwenye kazi ataleta mrejesho hapa, kama ninajikweza au sijikwezi. Naimani nimeeleweka hapo. Samahani kwa kunielewa tofauti. Asante!
Ni kweli kabisa kama anautambuzi haya maneno ni mujadabu sana na ayatunze kwenye moyo wakeProfessional analysis.
To add-up, nimekuwa moja ya watu ambao nimemshauri mara kadhaa kutojibu negative comments bila mafanikio, majibu kama akili kisoda, uchumi wa viwanda, nk kuelekea kwa critics ni dalili za ulichosema.
Pia namwona kama ni mtu ana haraka sana kwenye kutoka, ni mtu ambaye usiweke naye malengo ya muda mrefu, hustlers never settle, this is one of them.
Ushauri; Mpaka dakika hii ameshakuwa famous in a way (hapa JF), so akipata kazi aifanye kweli, na ikibidi habari za ku-expose nini anafanya kwa nani zisiwepo (ajitahidi kukomaa na kujifunza kazi).
Ila akipata kazi akaendelea kuhangaika kutafuta kazi tena atajikuta anahama hama kabla ya kushika kitu cha maana, ajiwekee malengo. Vinginevyo atajikuta anaingia kwenye matatizo.
Asante kwa kunifuatilia na kunielewa, Asante na Shukrani kwa kunisaidia kujibu.!Kurunzi habari mkuu, nafikiri kuna watu walisema kuwa dogo anajikweza, naye ndo akajibu hivyo hakumaanisha wewe, ila mkuu nakuomba msaidie dogo unapoweza na umuelekeze pia ila usianze kumtilia mashaka mapema kabla hamjaonana.
Huu uzi naufatilia sana kimya kimya.
Ninachoweza kusema dogo ana uthubutu wa hali ya juu na katumia vizuri forum hii kutimiza ndoto yake ya kufika dar na kupata kazi.
Mbona muda analalamika hakuoni hukuja kusema jambo humu,,,. Hata humu ulipotea, . muache ajitaftie maisha,,kama hakuweza kumuona acha aendelee kuhangaika mbele kwa mbele,, ungekua muungwana muda ule ungesema jambo hata humu jfMkuu huyo muongo nimemwambia anipe namba hajanipa wala kufika kweli anacheza na akili zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurunzi habari mkuu, nafikiri kuna watu walisema kuwa dogo anajikweza, naye ndo akajibu hivyo hakumaanisha wewe, ila mkuu nakuomba msaidie dogo unapoweza na umuelekeze pia ila usianze kumtilia mashaka mapema kabla hamjaonana.
Huu uzi naufatilia sana kimya kimya.
Ninachoweza kusema dogo ana uthubutu wa hali ya juu na katumia vizuri forum hii kutimiza ndoto yake ya kufika dar na kupata kazi.
Mbona muda analalamika hakuoni hukuja kusema jambo humu,,,. Hata humu ulipotea, . muache ajitaftie maisha,,kama hakuweza kumuona acha aendelee kuhangaika mbele kwa mbele,, ungekua muungwana muda ule ungesema jambo hata humu jf
Msaada wangu mie huo wapigie simu wakupe muongozoWakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Mkuu mimi ni proffesional HR, kama umesoma comment yangu hapo juu, huyu jamaa responce zake zinatia shakaHayo maneno hupaswi kuyatumia anajikweza maana yake nini kwanini ajikwezwe kwako lengo likiwa nini? Ninakusadia kwa roho nyeupe tukishindwana nakupiga chini naona unaanza shidankabla hata kazi ujapata..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli kabisa, mimi nina madhaka sana na huyu bwana kutokana na majibu yake, nadhani hata kazi hatafanya atakua busy mitandaoni kujibizana, he doesnt sound kama mtu mwenye uhitaji at allProfessional analysis.
To add-up, nimekuwa moja ya watu ambao nimemshauri mara kadhaa kutojibu negative comments bila mafanikio, majibu kama akili kisoda, uchumi wa viwanda, nk kuelekea kwa critics ni dalili za ulichosema.
Pia namwona kama ni mtu ana haraka sana kwenye kutoka, ni mtu ambaye usiweke naye malengo ya muda mrefu, hustlers never settle, this is one of them.
Ushauri; Mpaka dakika hii ameshakuwa famous in a way (hapa JF), so akipata kazi aifanye kweli, na ikibidi habari za ku-expose nini anafanya kwa nani zisiwepo (ajitahidi kukomaa na kujifunza kazi).
Ila akipata kazi akaendelea kuhangaika kutafuta kazi tena atajikuta anahama hama kabla ya kushika kitu cha maana, ajiwekee malengo. Vinginevyo atajikuta anaingia kwenye matatizo.
Ni aibu kubwa sana. Umhangaishe mtu kutoka mbali aje halafu ujifiche.Alijua dogo anatania, kwa hiyo dogo alivyofika ikabidi ajifiche. Msome between lines utamwelewa lengo lake lilikuwa nini.
Umesema kweli kabisa, mimi nina madhaka sana na huyu bwana kutokana na majibu yake, nadhani hata kazi hatafanya atakua busy mitandaoni kujibizana, he doesnt sound kama mtu mwenye uhitaji at all
Sent using Jamii Forums mobile app
Isiishe kwenye treni iishe wakati kafika mjini?
Darasa la saba msomiPicha hata ukiwa umebeba begi, sijui kwa nini wewe nimeshindwa kukuelewa na kuuelewa mwandiko wako toka mwanzo yaani kuna kitu hakiko sawa kabisa.
Mkuu kuparamiwa ndiyo nini lakini?Uliulizwa upo tayari kuparamiwa... Hukujibu. Kuna jamaa alisema ana sehemu ofisi ya kutengeneza juice. Upo tayari KUPARAMIWA?
Nadhani umeelewa Kuparamiwa
Nimeelewa mkuu... Tenganisha hilo nenoNadhani umeelewa KuparamiwaView attachment 986756