Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Ni aibu kubwa sana. Umhangaishe mtu kutoka mbali aje halafu ujifiche.


Sent using Jamii Forums mobile app

Soma comments hizo chini, fanya evaluation then niambie zinakupa picha gani.


Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikiweka wazi bado kuna watu DIE HARD FANS wake wataanza kuleta maneno...binafsi nimejifunza kitu maana pia mimi ni mmoja kati binadamu uwezo mkubwa wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilichogundua jamaa ni kweli anahitaji msaada tumsapoti kwa nguvu zote.....(no more drama)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyeji wangu kanipeleka sehemu ili kuniombea nafasi ya kufanya kazi kwenye banda la chips, ila tumekuta nafasi hakuna. Niombeeni wakuu!
Mdogo wangu usivunjike moyo,tegemea zaid misukosuko na mitihani lukuki katika hii safar yako. Mm nakupa silaha mbili za mapambano naomba zitumie vizur sana utaona mafanikio yake.

1/Subra, ni lazma utakutana na shida ya njaa,mahali pakulala,matusi ya watu na kejeli zao na n.k Wewe simama kweny uvumilivu na subra,usithubutu kumtukana au kumpiga aliyekuudhi,kuwa imara zidhibiti hasira zako uwe na subra.

2/ uaminifu, hata uzidiwe vipi usikubali shatani akuharibie mwisho mzur wa safar yako kwa tamaa ya nafs. Ukipata kaz hata iwe ndogo vp bas ifanye kwa uaminifu usiibe wala kuchukuwa kitu cha mtu bila ya ridhaa yake.

"Naendelea hapo chini"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeona niliyoyaona mkuu



Ila acha niendelee hapa Chini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…