Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Vijana wa Dar mnashindwaje kujioganize vijana watatu mpaka wa tano muonane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?

Mim sipo Dar ila kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.

Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
Interesting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka.umefanikiwa kwenda kwa yule wa baracuda?
Jamii Forum hakuna msaada kaka!
naona bora niende mtaani kujieleza! Ili kama ni kusaidiwa, nisaidiwe na wanao niona jinsi nilivyo. Hapa JF Ni watu wanapiga stori tu na kupotezeana muda.
Ni mambo ya kijinga kweli. anatokea mtu anasema mimi ni Tapeli/muongo, Kweli? Yaani mtu hujakutana na mimi, halafu unasema mimi ni tapeli? Sawa jamani, nawashukuruni kwa maoni yenu kwangu.
Ngoja nipambane na hali yangu. Asanteni sana pia kwa kunipotezea Muda.
 
Pole sana wanasema.hv kwasabb utapeli humu.umeshika. kasi usichukie..lakini kuna mtu amesema uende baracuda jaman si uende?au unataka.msaada gan ww
 
Jamii Forum hakuna msaada kaka!
naona bora niende mtaani kujieleza! Ili kama ni kusaidiwa, nisaidiwe na wanao niona jinsi nilivyo. Hapa JF Ni watu wanapiga stori tu na kupotezeana muda.
Ni mambo ya kijinga kweli. anatokea mtu anasema mimi ni Tapeli/muongo, Kweli? Yaani mtu hujakutana na mimi, halafu unasema mimi ni tapeli? Sawa jamani, nawashukuruni kwa maoni yenu kwangu.
Ngoja nipambane na hali yangu. Asanteni sana pia kwa kunipotezea Muda.
pm me your number uje ulime huku mkuranga

Uki panic utajitoa kwenye lengo, na kama unategemea kila mmoja awe positive kwako utakwama. Hao wanaokuponda ni lazima wawepo na wewe siyo lazima uwajibu.

Kadri unavyowajibu kwa jazba ndivyo unavyojitoa kwenye lengo, watu wanakuona siyo mvumilivu, shida zipo sana, na wengine wanaokuponda wana shida kama zako, lengo lao usifanikiwe muwe sawa.
 
Njooo hapa kariakooo...ukifika ulizia Valentine hotel nikupe 20k ya kula... Im seriously
 
true dat
 
Acha uongo basi, PM Nimesha mfuata, ila hajanijibu. Halafu acha kusema una uhakika 100% Nime mtafuta, ila yeye ndiyo hanijibu.
Kwahiyo acha mazoea!

kuna yule jenseny umemfata pm?mbn kimya?
 
Njooo hapa kariakooo...ukifika ulizia Valentine hotel nikupe 20k ya kula... Im seriously

Kwa mgeni ambaye amefika jana, tena kapewa sh 600 asubuhi, sidhani kama atakuwa bado anayo (nauli), na kupapata hapo ni changamoto.
 
Sawa, mkuu!!! Mazingira mapya na uchovu wa safari inafanya mtu ajisahau. Nakutakia kila ya kheri! Jihakikishe umejiweka salama!!! Maandishi yako mazuri sana na unaweza kujieleza kwa ufanisi mkubwa! Ubarikiwe na nisamehe kama nimekukwaza!!!
kwamba anaweza kujieleza kwa ufanisi kwa njia ya maandishi. Kitu ambacho kina nitatiza Sana..😞😈😈
 
Back
Top Bottom