instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
InterestingVijana wa Dar mnashindwaje kujioganize vijana watatu mpaka wa tano muonane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?
Mim sipo Dar ila kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.
Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app