Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
Mkuu mimi nina kwangu aisee ninaishi kwangu. Sijaomba msaada humu bado. Umeniquote sawa lakini content yako haindeni na mimi. Mimi si mwenye huu uzi

NAendelea hapo chini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
Sio yeye aliyekuqoute
 
Back
Top Bottom