Itoye
JF-Expert Member
- Sep 29, 2017
- 531
- 1,023
Unatumia ya mwanaume wa wapi Inna?Situmii menu ya mwanaume wa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia ya mwanaume wa wapi Inna?Situmii menu ya mwanaume wa dar
Hogo lipi hilo? La kula auIngekuwa hogo ungesema hilo ndio huwa linanishibisha haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee!Tatizo nikija, yawezekana usiwepo, Hapa nitakuwa nimepoteza 1,000 Nzima nzima! Ambayo ingetosha kwa chakula cha siku.
Panda gari zinazoenda Gongo la mboto halafu shukia Ukonga Mombasa.Me nitakupokea stand hapo.Ukifika ni PM
NdioHogo lipi hilo? La kula au
Sawa ngoja akihitaji nimtumie nitamtumiaPeaneni namba mapema, hizo PM zinachelewa, kama una lengo la kumsaidia MPE namba aanze safari akiwa anajua anakupataje
Wa usukumani
Mbili usiniulize ni yapiNdio
Kwani wewe unajua mahogo ya aina ngapi?
Mkuu mimi nina kwangu aisee ninaishi kwangu. Sijaomba msaada humu bado. Umeniquote sawa lakini content yako haindeni na mimi. Mimi si mwenye huu uziMkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
Sio yeye aliyekuqouteMkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
Aiseee!
Watu wengine wapuuzi sana kwakweliKama mtu huna namna ya kumsaidia ni bora uwe msomaji km sisi wengine, sio vizuri mara njoo huku njoo kule akifika kituoni kimyaa while huyu mgeni wa Jiji. na foleni hizi za Dar mtu hawez kufika as if anapaa na Ungo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote yapo hayo, karibu sanaMbili usiniulize ni yapi