Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Habari
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi.
Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya.
Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la kisukuma.
Nilijikita katika mambo kadhaa ikiwa pamoja na
1.ongezeko la idadi ya watu mikoa ya Kanda ya ziwa. Kupitia vyanzo kadhaa ikiwemo taarifa mbalimbali na takwimu za kiserikali nilibaini kuna ongezeko kubwa la watu katika mikoa ya Kanda ya ziwa hususani mikoa ya jamii ya kisukuma . Ongezeko hili ni kubwa maradufu ukilinganisha a ongezeko la Kanda zingine.
2. Birth rate ya familia za kisukuma. Hapa nilibaini kwamba kwa familia ya kisukuma kuzaa watoto wengi bado ni Jambo linaloleta sifa kwenye familia ambapo familia yenye watoto wachache huwa ni kuanzia 7 na kuendelea ilihali makabila mengine familia zimeathiriwa Sana na usasa Kwa kujikita kwenye uzazi wa mpango na kuishia watoto wachache sana.
4. Hali ya kiafya kiujumla na lishe. Jamii za Kisukuma bado zinathamin Sana tiba mbadala na vyakula vya asili . Hali hii inafanya kiafya familia nyingi za Kisukuma kuwa vizuri.
5. Usambaaji wa jamii za Kisukuma mikoa mbali mbali nchini. Zamani wasukuma hawakusambaa Sana tofauti na sasa ambapo mikoa Mingi Kwa sasa wamejaa wao .
Nini faida au hasara ya utafiti huu?
Faida ya utafiti huu NI kuonyesha muelekeo kijamii Kwa taifa la Tanzania na kutahadharisha mamlaka kuona namna ya kubalance ongezeko la watu ili kuendelea kulinda mshikamano wa kitaifa.
Hasara ya utafiti huu ni pamoja na kwamba inaweza kuleta tafsir hasi Kwa baadhi ya wadau.