Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wasukuma sio binadamu ni jamii ya sokwe hivyo hawajui dunia inaendaje hivyo hata wakifika milion 100 hamna kitachobadilika zaidi ya kuzidisha umasikini nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nilikuwa maeneo ya Iringa kuna wasukuma wamevamia maeneo ya hifadhi ya Ruha, ukaibuka mgogoro kati ya TANAPA,wenyeji Vs wasukuma. Serikali imeingilia kati na kuagiza polisi wahakikishe kufikia Jan. 8 wasukuma wawe wameondoka hifadhini. OCD kawaambia wasukuma "tar 8 Jan kama hamtakuwa meondoka nakuja kukemea pepo". Ardhi haiongezeki, wasukuma kuzaliana kama Bacteria siyo sifa nzuri.Sawa tu! Kitaeleweka baadae! Tunanunua maeneo yenu na kuanzisha miradi ya kilimo na ufugaji.
Tunawekeza kwa Kasi!
Uchagani porini porini ni wapi huko?Hata uchagani porini porini wanajua hata mama samia ni rais wa Tanzania?
inavyoonekana hujui statistics wala hesabu za kawaida za compunding
Nakupa sehemu ya kuanzia, ingia wikipedia wasukuma ni 16% ya watanzania
![]()
Sukuma people - Wikipedia
en.wikipedia.org
View attachment 3190253
singida wilaya ya manyoni/itigi wamejaa sana ugogoni na ukimbu kuna vijiji wamejazana huko. Ukiwauliza wanatoka wapi watakuambia simiyu, shinyanga, mwanza, geita.Umesahau Lindi wanakuja kwa kasi, Mara wilaya ya Bunda, Singida, Kigoma, wengine wameshavuka mpaka hadi Zambia.
Huna akili kweli ukichukua MWANZA, SHINYANGA, TABORA, GEITA, BARIADI, BUNDA, KAHAMA AISEEE USEME wasukuma **** wapo 16% TANZANIA WACHAGA ndio Wengi nikujuze kitu Walioandika wikipedia Yako ni maandiko tu yakuchafua TAIFAinavyoonekana hujui statistics wala hesabu za kawaida za compunding
Nakupa sehemu ya kuanzia, ingia wikipedia wasukuma ni 16% ya watanzania
![]()
Sukuma people - Wikipedia
en.wikipedia.org
View attachment 3190253
Pascal , ntobi, yericko ndani!Habari
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi.
Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya.
Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la kisukuma.
Nilijikita katika mambo kadhaa ikiwa pamoja na
1.ongezeko la idadi ya watu mikoa ya Kanda ya ziwa. Kupitia vyanzo kadhaa ikiwemo taarifa mbalimbali na takwimu za kiserikali nilibaini kuna ongezeko kubwa la watu katika mikoa ya Kanda ya ziwa hususani mikoa ya jamii ya kisukuma . Ongezeko hili ni kubwa maradufu ukilinganisha a ongezeko la Kanda zingine.
2. Birth rate ya familia za kisukuma. Hapa nilibaini kwamba kwa familia ya kisukuma kuzaa watoto wengi bado ni Jambo linaloleta sifa kwenye familia ambapo familia yenye watoto wachache huwa ni kuanzia 7 na kuendelea ilihali makabila mengine familia zimeathiriwa Sana na usasa Kwa kujikita kwenye uzazi wa mpango na kuishia watoto wachache sana.
4. Hali ya kiafya kiujumla na lishe. Jamii za Kisukuma bado zinathamin Sana tiba mbadala na vyakula vya asili . Hali hii inafanya kiafya familia nyingi za Kisukuma kuwa vizuri.
5. Usambaaji wa jamii za Kisukuma mikoa mbali mbali nchini. Zamani wasukuma hawakusambaa Sana tofauti na sasa ambapo mikoa Mingi Kwa sasa wamejaa wao .
Nini faida au hasara ya utafiti huu?
Faida ya utafiti huu NI kuonyesha muelekeo kijamii Kwa taifa la Tanzania na kutahadharisha mamlaka kuona namna ya kubalance ongezeko la watu ili kuendelea kulinda mshikamano wa kitaifa.
Hasara ya utafiti huu ni pamoja na kwamba inaweza kuleta tafsir hasi Kwa baadhi ya wadau.
Uzuri %kubwa sio wavaa....Habari

Kinyesi cha binadamu kuna rutuba nzuri sana, vyoo vimeletwa na wazunguJuzi juzi nilitembelea vijiji kadhaa huko Katavi, ni kweli kabisa wasukuma wamejaa sana huko. Moja ya tabia ya ajabu niliyoiona huko ni kwamba hawataki kujenga vyoo na majority wanajisaidia maporini, jambo linalofanya kipindupindu kupiga kambi huko. Nilikutana na mdada mzuriii katika maongezi akaniambia tokea azaliwe huko kwao wanajisaidia maporini,nikabaki mdomo wazi.
Watakuwa machotara wewe. Hii nchi siku hiz wanaoana kabila mbali mbaliHabari
Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi.
Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya.
Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la kisukuma.
Nilijikita katika mambo kadhaa ikiwa pamoja na
1.ongezeko la idadi ya watu mikoa ya Kanda ya ziwa. Kupitia vyanzo kadhaa ikiwemo taarifa mbalimbali na takwimu za kiserikali nilibaini kuna ongezeko kubwa la watu katika mikoa ya Kanda ya ziwa hususani mikoa ya jamii ya kisukuma . Ongezeko hili ni kubwa maradufu ukilinganisha a ongezeko la Kanda zingine.
2. Birth rate ya familia za kisukuma. Hapa nilibaini kwamba kwa familia ya kisukuma kuzaa watoto wengi bado ni Jambo linaloleta sifa kwenye familia ambapo familia yenye watoto wachache huwa ni kuanzia 7 na kuendelea ilihali makabila mengine familia zimeathiriwa Sana na usasa Kwa kujikita kwenye uzazi wa mpango na kuishia watoto wachache sana.
4. Hali ya kiafya kiujumla na lishe. Jamii za Kisukuma bado zinathamin Sana tiba mbadala na vyakula vya asili . Hali hii inafanya kiafya familia nyingi za Kisukuma kuwa vizuri.
5. Usambaaji wa jamii za Kisukuma mikoa mbali mbali nchini. Zamani wasukuma hawakusambaa Sana tofauti na sasa ambapo mikoa Mingi Kwa sasa wamejaa wao .
Nini faida au hasara ya utafiti huu?
Faida ya utafiti huu NI kuonyesha muelekeo kijamii Kwa taifa la Tanzania na kutahadharisha mamlaka kuona namna ya kubalance ongezeko la watu ili kuendelea kulinda mshikamano wa kitaifa.
Hasara ya utafiti huu ni pamoja na kwamba inaweza kuleta tafsir hasi Kwa baadhi ya wadau.
Utupori wao umewasaidia sana hasa upande wa afya kuliko wale wanaojiona ni watu wa mijini85% Wasukuma ni watupori hawajui Dunia inazunguka kuelekea wapi.
Porini/vijijiniUchagani porini porini ni wapi huko?
Huyu mtafiti kakurupuka, wakinga sehemu zote zenye biashara wapoWakati huo sisi wakinga kutokea makete #Tukolive Kila mahali
Kushindia ugali mtama siyo afya, life expectancy na maendeleo yao kwa ujumla yapoje?Utupori wao umewasaidia sana hasa upande wa afya kuliko wale wanaojiona ni watu wa mijini
Taja mfano. Uchagani wapi hawajui Samia ndiye Rais?Porini/vijijini
Ndo angalia takwimu halafu linganisha na jamii nyingine...........hao sio kula tu ugali wa mtama hata kwenye tiba bado wanatumia sana mimea kwa tiba mbalimbali,,,,,na wamesambaa kila kona nchini,,,,utakutana na msukuma dar hatumii huo ugali wa mtama ila upande wa tiba hawatumii sana haya madawa ya kemikali za viwandani na ndo kinachowasaidia......kwa ujumla jamii nyingi za kanda ya ziwa huo ushamba wao ndo unawasaidia kudominateKushindia ugali mtama siyo afya, life expectancy na maendeleo yao kwa ujumla yapoje?
Nakubaliana na wewe. Naongezea Tena kwamba 2030 nusu ya nchi itakuwa jangwa maana Hawa watu wanaongoza mifugo balaa.Habari