Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

Wasukuma sio binadamu ni jamii ya sokwe hivyo hawajui dunia inaendaje hivyo hata wakifika milion 100 hamna kitachobadilika zaidi ya kuzidisha umasikini nchini
 
Sawa tu! Kitaeleweka baadae! Tunanunua maeneo yenu na kuanzisha miradi ya kilimo na ufugaji.

Tunawekeza kwa Kasi!
Juzi nilikuwa maeneo ya Iringa kuna wasukuma wamevamia maeneo ya hifadhi ya Ruha, ukaibuka mgogoro kati ya TANAPA,wenyeji Vs wasukuma. Serikali imeingilia kati na kuagiza polisi wahakikishe kufikia Jan. 8 wasukuma wawe wameondoka hifadhini. OCD kawaambia wasukuma "tar 8 Jan kama hamtakuwa meondoka nakuja kukemea pepo". Ardhi haiongezeki, wasukuma kuzaliana kama Bacteria siyo sifa nzuri.
 
Umesahau Lindi wanakuja kwa kasi, Mara wilaya ya Bunda, Singida, Kigoma, wengine wameshavuka mpaka hadi Zambia.
singida wilaya ya manyoni/itigi wamejaa sana ugogoni na ukimbu kuna vijiji wamejazana huko. Ukiwauliza wanatoka wapi watakuambia simiyu, shinyanga, mwanza, geita.
 
Huna akili kweli ukichukua MWANZA, SHINYANGA, TABORA, GEITA, BARIADI, BUNDA, KAHAMA AISEEE USEME wasukuma **** wapo 16% TANZANIA WACHAGA ndio Wengi nikujuze kitu Walioandika wikipedia Yako ni maandiko tu yakuchafua TAIFA
 
Pascal , ntobi, yericko ndani!

Kwamba kama si wafuasi wa CCM basi watakuwa wa mwamba!

Tutakuwa na taifa hovyo Kweri kweri.!
 
Uzuri %kubwa sio wavaa....
 
Kinyesi cha binadamu kuna rutuba nzuri sana, vyoo vimeletwa na wazungu
 
Watakuwa machotara wewe. Hii nchi siku hiz wanaoana kabila mbali mbali
 
Utupori wao umewasaidia sana hasa upande wa afya kuliko wale wanaojiona ni watu wa mijini
Kushindia ugali mtama siyo afya, life expectancy na maendeleo yao kwa ujumla yapoje?
 
Kushindia ugali mtama siyo afya, life expectancy na maendeleo yao kwa ujumla yapoje?
Ndo angalia takwimu halafu linganisha na jamii nyingine...........hao sio kula tu ugali wa mtama hata kwenye tiba bado wanatumia sana mimea kwa tiba mbalimbali,,,,,na wamesambaa kila kona nchini,,,,utakutana na msukuma dar hatumii huo ugali wa mtama ila upande wa tiba hawatumii sana haya madawa ya kemikali za viwandani na ndo kinachowasaidia......kwa ujumla jamii nyingi za kanda ya ziwa huo ushamba wao ndo unawasaidia kudominate
 
Nakubaliana na wewe. Naongezea Tena kwamba 2030 nusu ya nchi itakuwa jangwa maana Hawa watu wanaongoza mifugo balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…