Nakukumbusha tena, "acha kubeti" mwisho wa betting sio mzuri


Naungga mkono hoja. Pia inaweza kukufanya uwe mtumia vilevi kupindukia kama pombe, bangi nk. Pamaja na umalaya mkubwa. Sababu kubwa ni ukipoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja ni lazima upunguze machungu kwa aina moja au nyingine, mbadala wa kujiua unajizuru kwa namna nyingine.
 
Kitalud huko wapi? Assume umetusua zako 40 million then unaendelea na mambo yako hiyo hela itarudi huko saa ngapi ki vipi kiaje yaan kichawi au?
Mcheaza kàmari atakaeshinda 40m, kama dau zake huwa 10k kurudi chini basi atapanda dau ,ataanxa kubetia 1M kuendelea

Naongea kwa uzoefu
 
mpango wangu ni kumiliki betting application ..au betting shop nyingi niwezavyo.mandix wapo wengi huwezi shindana na computer alogarithim
 
Mkuu Ben-adam hii dondoo yako nimei save kabisa kama funzo la kuwaelimisha wengine hapo baadaye kwa kuwa mimi mwenyewe ni mdau ambae nipo huko na madhara nayaona sana, yote hayo kama ulivyo yatiririsha hapa.

Niliwaza kipindi flani kuwa niachane na Betting labda nigeukie Forex yaani FX lakini mbona naona kama ni yale yale tu sambamba kabisa na Stock Exchange n. K vipi mkuu una wazo lolote kuhusu hizi sectors??
 
saafi kabisa, kuna machungu makali huwa yanatokea mara baada ya kuliwa, ni kweli lazima ufanye kitu ila kujipoza poza na kujifariji.
 
saafi kabisa, kuna machungu makali huwa yanatokea mara baada ya kuliwa, ni kweli lazima ufanye kitu ila kujipoza poza na kujifariji.
 
saafi kabisa, kuna machungu makali huwa yanatokea mara baada ya kuliwa, ni kweli lazima ufanye kitu ila kujipoza poza na kujifariji.

Kabisa sababu unajua ndani ya moyo wako umefanya ujinga, nafsi yako inakusuta. Halafu ukifikiria ungeweza kutumia hizo pesa kwa mambo muhimu kama kujiendeleza kimasomo, kufungua biashara ndogo hata kuweka benki. Lazima uanzishe hata ugomvi na mtu kujifariji.
 
Mcheaza kàmari atakaeshinda 40m, kama dau zake huwa 10k kurudi chini basi atapanda dau ,ataanxa kubetia 1M kuendelea

Naongea kwa uzoefu
Ndo maana nimesema ni bahati ya mtu na mtu kitendo cha wewe kuwa huna bahati hiyo basi na wenzio hawana au watakosa

Vijana wengi tu wametusua kupitia betting

Tena unakuta mwingine kaweka book tu lakin kesho yake anaamka mpaka na milion mia

Kuhusu uzoefu wako hata mimi niliwahi kutana na mtu mmoja ambaye zaman alikuwa anasali sana lakin hakuona faida ya Sala na kanisa

Jamaa akanizuia kwenda kanisan akasema yeye kashasali sana na hakupata faida au kuona faida

Lakini mimi niliendelea kusali tu kila siku na leo hii nimeiona faida ya Sala na MUNGU MWENYEZI kanibariki

Kwahiyo kushindwa kwako wewe sisi kuwa na wengine watashindwa

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…