Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo.
Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi.
Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho.
Yule mjeda alitumia ubabe hakufuata foleni basi akashikwa shati na kurudishwa nyuma kabisa ya foleni .
Alihisi ameaibika akatamka maneno ya dharura na ukali kwa afande wa Magereza a.k.a jeshi la TIMAMU AFANDE.
Basi mkono ukaanza, ile jamaa wa Jei Wii anaruka tu kashuka na teke la mbavu na mkono ukaishia papo hapo.
Mpaka leo jamaa wa JWTZ anatembea upande upande.