Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
AhahahahaWewe ni Askari magereza wa gereza gani?, Isiwe ni yule ambae juzi mlikimbia mjeshi pale njia panda ya kwenda Mtanda, mlikuwa mnamtukana lkn baada ya watu waliokuwa pembeni kuropoka mjeshi anatukanwa na bado anaonesha ustaarabu mlivyosikia hivyo tu mkalala mbele kiaina wewe na mwenzako.
Hapana, Mimi sio mjelajela sema tu nimekulia mazingira ya jelajela.
Mimi ni askari ila si wa magereza wala Jei Wii