Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Ilikuwa miaka ya 1997-1999 kwa kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo.
Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi.
Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kumsalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho.
Yule mjeda alitumia ubabe hakufuata foleni basi akashikwa shati na kurudishwa nyuma kabisa ya foleni .
Alihisi ameaibika akatamka maneno ya dharura na ukali kwa afande wa Magereza a.k.a jeshi la TIMAMU AFANDE.
Basi mkono ukaanza, ile jamaa wa Jei Wii anaruka tu kashuka na teke la mbavu na mkono ukaishia papo hapo.
Mpaka leo jamaa wa JWTZ anatembea upande upande.
Wale wanaolinda watuhumiwa sugu aisee usitie pua,utakula mkong'oto utajutaMagereza wako fiti kuliko jw,
Kulinda gaidi sio mchezoWale wanaolinda watuhumiwa sugu aisee usitie pua,utakula mkong'oto utajuta
AhahahahaKuna askari mmoja alikuwa kitengo cha kutuliza fujo gerezani kule Dodoma, yani wafungwa wakileta vurugu jamaa na wenzake wanne wanaitwa wanaingia ndani ya gereza wanaanza kutembeza kichapo dakika chache tu gereza linatulia.
Siku moja nilipata fursa ya kushikana naye mkono aloo mkono ni mgumu kama kipande cha mbao kavu.
Kwahiyo ukitiia fujo utadundwa tuKwa hiyo
KMKMKuna askari mmoja alikuwa kitengo cha kutuliza fujo gerezani kule Dodoma, yani wafungwa wakileta vurugu jamaa na wenzake wanne wanaitwa wanaingia ndani ya gereza wanaanza kutembeza kichapo dakika chache tu gereza linatulia.
Siku moja nilipata fursa ya kushikana naye mkono aloo mkono ni mgumu kama kipande cha mbao kavu.
Usicheze na mziki wa vijana wa Kirusi.Kuna hawa wenye tabia ya kuweka makoti kwenye siti za V iSt vyao hawatembei na leseni aisee wana majigambo na majivuno ile mbaya hovyo sana.
Hii yote ni kukosa kazi za kufanya huko makambini naishauri serikali iwapeleke UKraine ikawasaidie wakirudi akili zitakuwa zimekaa sawa.
KMKM
Ubabe wao mara nyingi huufanyia kazini au mahali ambapo anaona wenzake wako karibu ili ok ikitokea la kutokea apige filimbi.JW ni mabingwa wa kuchangia, ... nje ya hapo inategemea na mafunzo na mtu mmoja mmoja!
Askari mzuri ni yule anayetumia mafunzo yake kusaidia wanyonge, NJE YA HAPO NI JAMBAZI LINGINE TU LINALONGOJEA 40 ZAKE!
Inategemea kitengo..Magereza wako fiti kuliko jw,
...Miaka 23 iliyopita! Leo imekukumbusha Nini? Hadithi Yako inatufundisha Nini?Hello!
Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo.
Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi.
Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho.
Yule mjeda alitumia ubabe hakufuata foleni basi akashikwa shati na kurudishwa nyuma kabisa ya foleni .
Alihisi ameaibika akatamka maneno ya dharura na ukali kwa afande wa Magereza a.k.a jeshi la TIMAMU AFANDE.
Basi mkono ukaanza, ile jamaa wa Jei Wii anaruka tu kashuka na teke la mbavu na mkono ukaishia papo hapo.
Mpaka leo jamaa wa JWTZ anatembea upande upande.
Wewe ni Askari magereza wa gereza gani?, Isiwe ni yule ambae juzi mlikimbia mjeshi pale njia panda ya kwenda Mtanda, mlikuwa mnamtukana lkn baada ya watu waliokuwa pembeni kuropoka mjeshi anatukanwa na bado anaonesha ustaarabu mlivyosikia hivyo tu mkalala mbele kiaina wewe na mwenzako.Hello!