Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #21
AhahahahaWewe ni Askari magereza wa gereza gani?, Isiwe ni yule ambae juzi mlikimbia mjeshi pale njia panda ya kwenda Mtanda, mlikuwa mnamtukana lkn baada ya watu waliokuwa pembeni kuropoka mjeshi anatukanwa na bado anaonesha ustaarabu mlivyosikia hivyo tu mkalala mbele kiaina wewe na mwenzako.
Hapana, nahisi kati ya wale wawili mmoja wapo ni wewe, hapa umeamua kuigeuza story kutokana na yaliokufika, asilimia kubwa ya aina zote za maaskari JWTZ ndio marafiki wa raia wengi, katika hali ya kawaida hawa jamaa ndio kimbilio la raia wengi hata mtaani.Ahahahaha
Hapana, Mimi sio mjelajela sema tu nimekulia mazingira ya jelajela.
Mimi ni askari ila si wa magereza wala Jei Wii
Magereza wako fiti kuliko jw,
Wale wanaolinda watuhumiwa sugu aisee usitie pua,utakula mkong'oto utajuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi raia watakuja kupinga hapa maana wanaamini jw wananguvu kuliko mtu yoyote hata awe dem mjeshi basi inaaminika ni moto wa kuotea mbali.
Ukija kwenye uhalisia sasa hao watu ni mavi ya kima,mdebwedo kabisa[emoji1][emoji1].
Wadogo zangu wavaa gwani naomba munisamehe kidogo nilikuwa na balansi mzani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna askari mmoja alikuwa kitengo cha kutuliza fujo gerezani kule Dodoma, yani wafungwa wakileta vurugu jamaa na wenzake wanne wanaitwa wanaingia ndani ya gereza wanaanza kutembeza kichapo dakika chache tu gereza linatulia.
Siku moja nilipata fursa ya kushikana naye mkono aloo mkono ni mgumu kama kipande cha mbao kavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubabe wao mara nyingi huufanyia kazini au mahali ambapo anaona wenzake wako karibu ili ok ikitokea la kutokea apige filimbi.
Tegeta muuza matikiti alimtwanga mjeda mpaka alikwenda kulazwa
Yaani upo jf unaandika kwa uhuru kabisa afu unasema hawana kazi... Wenzako somalia na kenya mawenge dailyKuna hawa wenye tabia ya kuweka makoti kwenye siti za V iSt vyao hawatembei na leseni aisee wana majigambo na majivuno ile mbaya hovyo sana.
Hii yote ni kukosa kazi za kufanya huko makambini naishauri serikali iwapeleke UKraine ikawasaidie wakirudi akili zitakuwa zimekaa sawa.
Imani zitakuponza.Usikiamini kila ukionacho chaweza kuwa na upande usiouamini.Bii keyafuru!Hello!
Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo.
Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi.
Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho.
Yule mjeda alitumia ubabe hakufuata foleni basi akashikwa shati na kurudishwa nyuma kabisa ya foleni .
Alihisi ameaibika akatamka maneno ya dharura na ukali kwa afande wa Magereza a.k.a jeshi la TIMAMU AFANDE.
Basi mkono ukaanza, ile jamaa wa Jei Wii anaruka tu kashuka na teke la mbavu na mkono ukaishia papo hapo.
Mpaka leo jamaa wa JWTZ anatembea upande upande.
Ndio baba.
Hasa wale wa kikosi maalum KM ni balaa.Magereza wako fiti kuliko jw,
Hao ni kikosi maalum ndani ya jeshi la magereza KM.Kuna askari mmoja alikuwa kitengo cha kutuliza fujo gerezani kule Dodoma, yani wafungwa wakileta vurugu jamaa na wenzake wanne wanaitwa wanaingia ndani ya gereza wanaanza kutembeza kichapo dakika chache tu gereza linatulia.
Siku moja nilipata fursa ya kushikana naye mkono aloo mkono ni mgumu kama kipande cha mbao kavu.
Sio JW tu, majeshi yote dunia nzima mafunzo Yao mostly Ni ya kuchangia ndio Maana Kuna platoon, company, battalion, brigade.JW ni mabingwa wa kuchangia, ... nje ya hapo inategemea na mafunzo na mtu mmoja mmoja!
Askari mzuri ni yule anayetumia mafunzo yake kusaidia wanyonge, NJE YA HAPO NI JAMBAZI LINGINE TU LINALONGOJEA 40 ZAKE!
Hao masela hua sio wa mchezo mchezo Hadi manati hua wanabeba Kama Silaha.Ni kweli hata kozi yao si mchezo
Wee huoni bado askari magereza kuna wazee na bado wako fiti balaa