Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

Abdul mtoto wa mama yako samia unaemshabikia kwenye post zako za siasa kwamba unaenda ku-tick october according na wewe ili aendelee kutawala hiyo 50+mill haitoshi kulipia bima gari yake moja,I mean gari moja tu so kama anazo tatu hiyo ni hela ya garage tena service awamu moja tu.

Mimi ndiyo huwa nawaambia watu ninyi mnaoshabikia sana watawala mna maisha magumu kuliko kwa sababu kwa mbwembwe mnazozionyesha humu haitegemewi kukuona ukishangaa gari ya mill 50 na kuiita ni gari ya ghali wakati hizo wapo watu pale mtaa wa Congo wauza nguo ndiyo gari zao za ku-supply mizigo transporter.
Nionyeshe wapi nasimama na serikali ya sa100 mkuu? Siwezi shabikia mtu hata mimi namzidi IQ
 
Kukimbia hakuna shida mkuu, yote mazoezi unaweza anza na kutembea kisha kukimbia hakuna tabu.

Kukimbia husaidia kama unataka kutumia eneo dogo na kwa haraka (save time).
 
Back
Top Bottom