Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

Research shows walking barefoot, or grounding, is good for us. When we touch the Earth, our bodies absorb electrons. These electrons lower inflammation and stress, and boost blood flow, according to the World Health Organization (WHO). Grounding also helps our nervous system work better.
  • My take; this is one of the factors on high longevity of peasants vs urban dwellers
Truly said!
 
Upo sahihi. Nna jamaa zangu watu wa jogging aisee ni wamezeeka ghafla yaani sura zimewaparara nyuso zimekomaa hakuna nuru kabisa. Tena ukute anafanya jogging na diet juu utamuonea huruma.
Ni kwasababu ya Mabio wanayo kimbia mkuu.
Ili ufanye Mazoezi ya kukimbia ni lazima upime afya kwanza na Upate ushauri wa daktari.

.Ukikimbia kama wafanyavyo wengi bila elimu Unatanua moyo na kusababisha uzee wa ghafla Mwili kuchoka na mifupa kuharibika
 
Upo sahihi. Nna jamaa zangu watu wa jogging aisee ni wamezeeka ghafla yaani sura zimewaparara nyuso zimekomaa hakuna nuru kabisa. Tena ukute anafanya jogging na diet juu utamuonea huruma.
Watu wengi wanaponzwa na mifumo yao ya ulaji. Mimi huwa naendesha baiskeli, nakimbia na natembea pi. Ila sasa kukimbia ni mara 2 kwa mwezi, baiskel siku mbili kwa wiki.

Kutembea ni almost kila siku jioni. Kinywaji pendwa ni rozela ya vugu vugu natumia kama chai jioni na nkiwa nmerelax.
Milk shake pia maziwa fresh yamoto, ila tungi ni nikitaka natumia nsipotaka situmii.

Mpaka leo sijaona shida kwenye huo mfumo.
 
Sisi tumeanzisha kikundi cha jogging tunakutana kila jumamosi saa 12 asubuhi. Hua tunakimbia km 10 hivi, na mzunguko wetu hua unaishia kwenye bar moja. Hapo tutaanza na supu, mtori na chapati kama nne nne, then bia za "kupooza koo", tutakaa hapo mpaka mchana ni ugali mkubwa na kitimoto ya kwenda, then round za bia zinaendelea mpaka usiku wa manane tunarudi zetu home kulala.

Jumapili tunakutana saa 3 asubuhi tunakimbia kilometa 2-3 "kutoa sumu" za jana.
Nyinyi ni wahujumu uchumi.
 
Kwani ni lazima ule ?


Mbona Mimi nakimbia maisha yangu yote na ninafanya intermittent fasting Kila siku. Yani nakula mara moja Kwa siku tu.


Wanaume kama nyie mnaoshindwa kujizuia kula ndio wale mnageuzwa nyuma. Yani unashindwaje kujizuia kula kula hovyo kama nguruwe
Na mbaya zaid unavozidi kufanya mazoezi ndiyo hamu ya kula inaongezeka zaid, kwahyo hapo Inakuwa work done is =0
 
Hao wanaoongea hivyo ni wale wazembe. Kijana mdogo tumbo hilo mitako hio. Hawa tukisimama nao wao ndio wanaonekana wazee ila humu wanasema kinyume. Kama unaweza kimbia mwili wemyewe utakwambia sasa tembea. Yaani kijana una 29 au 35yrs unasema kutembea ni mazoezi? Kutembea ni ytaratibu wa maisha ya kila siku. Acheni uzembe.
Hao ndio wanaume wa miaka hii


Jitu Lina miaka 30+ linasema liwe linatembea.


Hawa ndio wake zao wanagongwa na Bodaboda
 
Back
Top Bottom