Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

Una uhakika mkuu?

Sikilizia wataalam wa havard.

Kale kakiti kanatia presha kwenye sehemu ya milija ya uzazi hivyo huweza kusababisha matatizo katika kusimamisha uume. Inatoa na bikra poa
 

Sikilizia wataalam wa havard.

Kale kakiti kanatia presha kwenye sehemu ya milija ya uzazi hivyo huweza kusababisha matatizo katika kusimamisha uume. Inatoa na bikra poa
Mi sijui nani alinishtua,sipendi kabisa hii kitu...
 
Kukimbia ndio kila kitu

Mi sijui nani alinishtua,sipendi kabisa hii kitu...
Kuna gym moja nilikuwa naingia naanza na baiskeli, nilimaliza naona kama chini ya zakhari panachemka balaa.
Nikakumbuka hizi baiskeli huwa zinatuhumiwa kupunguza NGUVU za kiume nikaacha. Labda iwe na KITI cha duara
 
Sio porojo. Kuna mzunguko ambao ukiumaliza unakuwa umeukimbia 5K. Hasa mmoja anazunguka mara 4. Alianza kama mazoezi ya kawaida maana alikuwa bonge sana Sasa amekuwa addicted. Kwake huo umbali ni kawaida sana. Sasa amejikuta Hadi anajiunga na vikundi vile wanaorushiana KWA siku wamekimbia km ngapi.
20k ni umbali mrefu lakini inawezekana kuukimbia kwa siku. Mchezo wa mbio ni addictive na kadri unavyofanya unazidi kuimarika. Jambo la msingi ni kufuata kanuni hususani kuimarisha misuli, kunywa maji ya kutosha na lishe bora.

Kuonekana mzee inatokana na athari ya kupungua kwa mafuta kwenye uso. Kuna njia mbalimbali za kukabiliana na hali hiyo.

Kuna Clubs mbalimbali, makundi ya WhatsApp pamoja na kurasa za mitandao ya kijamii ambazo huwaunganisha watu wanaokimbia kwa pamoja, lengo likiwa kupeana hamasa.
 
Tuache visingizio tufanye mazoezi ya kukimbia, kuhusu kutembea ndo maisha yangu yani sipendi kutumia usafiri iwe naenda kzn au kurudi huwa sioni km nafanya mazoezi ila nikikumbia angalau kidogo changanya na push ups ,pull ups,chin ups pamoja na mazoezi ya tumbo umemaliza
 
Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha.
Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi.

Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu.

Utanishukuru.
Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps zao za mabio.


Ni hilo tu.

Mtumishi Matunduizi
Hii ni kweli ila kama upo below 45, kukimbia ni vizuri zaidi
 
Kwani ni lazima ule ?


Mbona Mimi nakimbia maisha yangu yote na ninafanya intermittent fasting Kila siku. Yani nakula mara moja Kwa siku tu.


Wanaume kama nyie mnaoshindwa kujizuia kula ndio wale mnageuzwa nyuma. Yani unashindwaje kujizuia kula kula hovyo kama nguruwe
wew kum* unaona comment yangu nimemtukana mtu au unajifanya msela mavi, kmmk nenda kaf*rwe na baba hko.
 
Harrier "anaconda" ni baby walker? Gari inauzwa 50m+ tena used unaiita babu walker. Machawa bwana!!!!
Abdul mtoto wa mama yako samia unaemshabikia kwenye post zako za siasa kwamba unaenda ku-tick october according na wewe ili aendelee kutawala hiyo 50+mill haitoshi kulipia bima gari yake moja,I mean gari moja tu so kama anazo tatu hiyo ni hela ya kuzipeleka garage kumwaga oil tena service awamu moja tu.

Mimi ndiyo huwa nawaambia watu ninyi mnaoshabikia sana watawala mna maisha magumu kuliko kwa sababu kwa mbwembwe mnazozionyesha humu haitegemewi kukuona ukishangaa gari ya mill 50 na kuiita ni gari ya ghali wakati hizo wapo watu pale mtaa wa Congo wauza nguo ndiyo gari zao za ku-supply mizigo transporter.
 
Back
Top Bottom