TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Ila rusitembee kama Bujibuji Simba Nyamaume zaidi ya km 40 kwa sikuTembea KWA miguu umbali wa kukutosha.
Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi.
Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu.
Utanishukuru.
Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps zao za mabio.
Ni hilo tu.
Mtumishi Matunduizi
Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu
Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa