Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Acha ujinga, matokeo fake ya tume kwanini yakubaliwe?? Fanyeni namna zote ili kila mtu ajue ushindi umepatikana Halali kwa aliye tangazwa
 

Vurugu mpaka sasa wananchi wanaziona ni za chama tawala, polisi. Mbona hauongelei waliochoma maofisi hizo sio vurugu? Hawa ndiyo Wale usalama waliotumwa 😂😂
 
Vurugu mpaka sasa wananchi wanaziona ni za chama tawala, polisi. Mbona hauongelei waliochoma maofisi hizo sio vurugu? Hawa ndiyo Wale usalama waliotumwa [emoji23][emoji23]
Waliochoma ofisi ni akina Lema wenyewe ili wapate huruma ya Wananchi
 
Mkuu samahani nahitaji kujua au kuelimishwa..

Siasa za maendeleo ni zipi mkuu?
 
Mkuu samahani nahitaji kujua au kuelimishwa..

Siasa za maendeleo ni zipi mkuu?
Ni zile ambazo hatupingi kila kitu na tunaonesha njia kwa tunayopinga. Nizile ambazo tunalinda mila na desturi kama vile kupinga Ushoga siyo hizi za akaina Lissu ambazo wanatetea ushoga. Nizile unazoeleza utafanya nini siyo za kusema tutapinga matokeo tukishindwa wakati hata uchaguzi haujafanyika. Nizile za kizalendo siyo zile za kutaka Mabebetu waje wakuokoe....
 
Hakuna kitu Kama hicho wewe hivi lili marufuku mmelisahau nyie ebu ngoja niwakumbushe.


NI MARUFUKU KUMRINGANISHA MAGUFULI NA VITU VYA AJABU YA AJABU
Magufuli halinganishwi na kitu/ vitu vya ajabu. Yeye ndo kitu/ vitu cha ajabu
 
[emoji16]
 
Hakuna kitu hapo zote hizo ni sababu za kumtafutia makosa Lissu ili mumufunge kwa makosa ya kuandaliwa na CCM.
 
Nyinyi wazee wa CCM lini mutaacha kuvuta bangi angalau mwenge vuta cocaine mukawa mateja hebuu ona hizo porojo zako zisizo kuwa na macho wa miguu
mm nakuuliza masuali la kwanza CCM wana miaka mingapi kutawala Tanzania suala la pili ni nani katika Tanzania mwenye Silaha kati ya CCM na vyama vya Upinzani kwanza jibu hayo maswali halafu lete porojo
 
Vipi deni la taifa mbona linazidi kupaa kwa speed ya jet, kisa mnakopa fedha kutoka kwa hao hao unao waita mabeberu? Una mdomo mchafu kwa wanao kuhifadhi!
 
Sijui TUNDU LISU atajinadi kwa sera zipi maana kila kitu kimesha tekelezwa na Mwanajeshi kamili MAGUFULI sio yeye Tundu Lisu sungusungu
 
Hakuna kitu hapo zote hizo ni sababu za kumtafutia makosa Lissu ili mumufunge kwa makosa ya kuandaliwa na CCM.
Watafungwa wao, kama watamfunga Lissu ukonga wao wataenda kujulishwa gerereza lao pale the Hague kwa mama Fatou Bensouda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…