Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipata sehemu gani kariakoo mkuu nikachukuwe
Nenda mchikichi na sikukuu karibu sana na hoteli ya concord kwa radio. Kwa flash memories hizi hukuhuku likoma na masasiChimbo la Usb flash drives, memory cards na vile vi' redio vya mchina " Bluetooth mode is ready to pair" nataka nikawapige wangoni na wamatengo , now Wana hela za mahindi na kahawa.
Elfu kumi bei ya jumla mkuu, reja 25 nakukumbusha tuSivaagi midosho bora nivae kandambili kuliko kununua kiatu special kwa 10K.
Staff jinzi nenda Mchikichi Complex au Raha complex (ipo mtaa wa raha/Congo na muhonda)Vp kuhusu chimbo la staff jeans
Jumba la pochi Colombia tower au?Kama anataka reja reja maeneo mengi wanauza ila kama anahitaji jumla aende pale halotel jirani na jumba la pochi
Mjini ujanja tuInategemea mkuu, wengi watu kitu kikiwa na bei chini tunatia waswas kwenye ubora. Hiz ukiwa mfanyabiasara kama unauzia sinza unazipiga splash unaziweka kwenye boksi unauza laki na 70
Lile jengo nyuma ya msikiti wa IdrisaJumba la pochi Colombia tower au?
labda mpimbwe huko ndio 25k, binafsi hiyo raba labda iwe ya mazoezi.Elfu kumi bei ya jumla mkuu, reja 25 nakukumbusha tu
Ni kwamchinaChimbo la yebo yebo na vile vi ndala vya kina dada pamoja na bei zake tafadhali.
Njoo elshaddai upate na pazia chief.Asante ndio naelekea hapa mi nipo mtaa wa aggrey.
Weka pichaDaaah aseee kuna kiatu nakitafta sana naweza pata msaada wakuu
Oya Mchina wa hizi nampata wapi?Weka picha
Oya Mchina wa hizi nampata wapi?
Mkombozi store ana bei kidogo! Natafuta na unkut tshirt original acha zile za buku 9
sio watalii tu hata maostadhi wanatupia sana hivyo vikoti hasa wale Answar bila hiko kikoti hupewi mke😆😆😆Na hizi koti za kuvaa watalii
Sio hiv mkuu.. hiv hawqvai wauza kasusu vile navijua. Hivi shati zake hizo hapo juusio watalii tu hata maostadhi wanatupia sana hivyo vikoti hasa wale Answar bila hiko kikoti hupewi mke😆😆😆
Kumbe vina tofauti na wazee wa alkasusu nikajua ni vile vile tuSio hiv mkuu.. hiv hawqvai wauza kasusu vile navijua. Hivi shati zake hizo hapo juu
Kuna mguu nilipata karume kwa 6000 aisee Kuna Braza men akaupenda nikampiga kwa 20000 sio POAKwa elfu 10 unategemea kudumuje?
Mnatafutaga kudanganywa tu yaani