Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Icho wakuu msaada wa kupta bei ya kitonga kdgo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Icho wakuu msaada wa kupta bei ya kitonga kdgo
Bei ya jumla 12000 reja reja sijui
Kwenye nguo sijui chochoteOya Mchina wa hizi nampata wapi?
Mkombozi store ana bei kidogo! Natafuta na unkut tshirt original acha zile za buku 9
heh kwaio unanishauri nin mimi nnae vaa midoshoSivaagi midosho bora nivae kandambili kuliko kununua kiatu special kwa 10K.
Nyie wakike viatu vyenu hadi afu tatu mnapata, we endelea.heh kwaio unanishauri nin mimi nnae vaa midosho
Wapi vipo afu tatu nijeNyie wakike viatu vyenu hadi afu tatu mnapata, we endelea.
Ni kwamchina
DuuuhBei ya jumla 12000 reja reja sijui
Elf 12 ?Bei ya jumla 12000 reja reja sijui
Midosho ndiyo aina gani tena hiyo?heh kwaio unanishauri nin mimi nnae vaa midosho
Eee Bei ya jumlaElf 12 ?
Cheap up 3000 mtaani unauza 7000Mkuu bei zake ziko vipi?
mimi mwenyewe nimemuunga tu mkono alosema, sielewiMidosho ndiyo aina gani tena hiyo?
Najihisi kuachwa nyuma na wakati!
Ipo maeneo gani?
Jumla nataka naomba nielekeze vizur mtaa ganiKama anataka reja reja maeneo mengi wanauza ila kama anahitaji jumla aende pale halotel jirani na jumba la pochi
Msimbazi B stendi ya mwendo kas pale upande ule wenye mitaa inayouza vitambaa! Ukimuuliza mtu yoyote pale mitaa ya narungombe na Msimbazi shamba la bibi anakuonesha. Unauzaga zara feki au og?Ipo maeneo gani?
OGMsimbazi B stendi ya mwendo kas pale upande ule wenye mitaa inayouza vitambaa! Ukimuuliza mtu yoyote pale mitaa ya narungombe na Msimbazi shamba la bibi anakuonesha. Unauzaga zara feki au og?