Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Chimbo la Usb flash drives, memory cards na vile vi' redio vya mchina " Bluetooth mode is ready to pair" nataka nikawapige wangoni na wamatengo , now Wana hela za mahindi na kahawa.
Nenda mchikichi na sikukuu karibu sana na hoteli ya concord kwa radio. Kwa flash memories hizi hukuhuku likoma na masasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…