Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Mkuu Kalaga Baho Nongwa naomba kupata chimbo la cargo pants zile nzito original ambazo rejareja wanauza 55,000 hadi 50,000, Pia naomba na chimbo la cardet original zile nzito zisizochuja!

Natanguliza shukran
Pale msimbazi kituo cha polisi kuna kagorofa flani hiv jamaa wanauzaga hiz. Hata pale Kongo na Muhonda kuja mshakaj anauzaga 35000 ingawa sijaingia huko muda nref sas. Weka picha za mikato mipya iliyo hot kwa sasa nione

Ushauri: kwa nn usiagize hiz mana China bei yake nzur tu
 

HIZI KALI? DAAAAH. HAMNA KITU HAPO. HATA UKINIPA NA PESA SIVAI.
 
Nakukubali sana mzee wa chimbo msomi
Huna ubaya wala ubwela, piga kazi bingwa
Tuna vijana wana degree kama wewe lakini wanajiona keki hawataki kujishughulisha
Ndo namalizia malizia hapa bongo, maisha yamenishinda kabisa mazingira haya. Bahamian zanziba mazima mwez ujao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…