Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Wajue code za lugha ya kuongea ili waelekezwe na kuuziwa kwa bei ya mfanyabiashara
Ukifika kona hizo usimuulize mtu anayeuz bidhaa kama unazotaka kununua lazima atakaza fuvu tu ili uwe mteja wake.

Hapo wauza mifuko au wauza pochi wanakuonesha vizur kabisa. Unageuka msela kwq mda tu mwambie hiv " oya omboi kama kawa? Oya namuulizia mchina mmoja hivi anauza viatu anaitwa maua".
 
Nakushukuru sana Mzee Kalagabaho. Tafadhali kama una contact ninayoweza kupata vitu vifuatavyo kwa bei kitonga na awe mwaminifu;
1. Duvets
2. Taulo
3. Mashuka
4. Mito na foronya zake
5. Blanket
6. Mapazia
7. Mats (door mats, table mats, nk)
Duvet
moja Bila for onyo wala mto ni 20000
1. Duvet 1 shuka moja na foronya 2 huwaga 27 na belo ni 250 au 240k zinakaa pea 10
2. Duvet 1 shuka 2 na foronnya 4 inakuaga 33 mpaka 35 japo sijawah kufika huko kenye bei chee ya belo( niswe muongo kwa hii kes ya shuka 2)

Taulo zinatofautiana mkuu kuna zile za elfu 4500 per piece. Kuna nyingine wanauzaga elfu 9 hadi 10 kuna jamaa anauzaga elf 8500 last time aliishiwa ila nitakuelekeza. Kuna taulo za 13 na kuja jamaa wanauzaga belo kama belo zinitwa taulo za HIS yuko "fire"

Mashuka yako ya aina nyingi kuna chapa ya (H &F) ambazo kariakoo ni 19 au 20 mchina wake anaitwa AMANI yuko mkabala na msikit wa Kiblaten aggrey na sikukuu. Kuna mama mmoja hivi narungombe na Congo anaitwa "MAMA OSAMA" anauza pia na taulo muone.

Pazia za aina gani? Unategemea kuuza kias gan? Huu ni mtaa wa swahili na mchikichi nitakupa namba ya forza investment. Wnauza pazia za mita 2

Mito na foronya na pzia na shuka nakupa namba ya mwangala
 
Mkuu nakushukuru mno. Hapo kwenye Duvet imenisaidia sana. Mimi wateja wangu ni wa kipato cha chini wengi na wa kati wachache. Hao wa kipato cha kati wengi wao ni watumishi wa umma. Kwahiyo kiukweli nataka vitu vya bei chee. Vitu vyote nilivyotaja nitachukua kwa jumla angalau isipungue 20pcs duvets na zilizobakia.
 
Bas tutaftane bos ukija kariakok kam nitakuwepo. Mito huwaga ni elfu 4 ukinunua 25.
 
Waishi nayo hii wapambanaji
 

Attachments

  • Screenshot_20240812_170449_WhatsApp.jpg
    329.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20240812_170428_WhatsApp.jpg
    1,007.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_20240812_170410_WhatsApp.jpg
    951.8 KB · Views: 22
24 kwenye boksi. Ndo nilikuwa nawatolea jamaa gape hapa. Jumla elf 10 reja 25 washindwe wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…