Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣🤣 Si ungeniambia tu taratibu ningekuelewa. Yaani hadi nikimbie kama mwehu 🙆🙆Kalaga Baho Nongwa kama ni Narung'ombe na Congo jengo la Congo Tower yule Mchina anaitwa Maua ukipanda Kwa hii ngazi ya kwanza kulia kwako duka la kwanza vitenge duka la pili ndo yeye, pale mara nyingi naonaga anauza jumla ila kama reja reja anauza inabidi nikamtafutie Atoto viatu vya jogging
Nimelia sana