magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Unataka raba ya 10k inayodumu au mimi ndio sijaelewa?zinadumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka raba ya 10k inayodumu au mimi ndio sijaelewa?zinadumu?
Hujanipa jibu mkuu wangu !Sawa
Tulikuw tunaongelea nn na weweNarung'ombe na congo kubwa san, jengo gani?
InboxHujanipa jibu mkuu wangu !
Sio kwa ajili ya biashara, ni kuvaa mwenyewe tuPale msimbazi kituo cha polisi kuna kagorofa flani hiv jamaa wanauzaga hiz. Hata pale Kongo na Muhonda kuja mshakaj anauzaga 35000 ingawa sijaingia huko muda nref sas. Weka picha za mikato mipya iliyo hot kwa sasa nione
Ushauri: kwa nn usiagize hiz mana China bei yake nzur tu
Oke ni me au ke?Sio kwa ajili ya biashara, ni kuvaa mwenyewe tu
Mpaji Mungu anashindag kona hizo kila siku
Mkuu Kalaga Baho Nongwa naomba kupata chimbo la cargo pants zile nzito original ambazo rejareja wanauza 55,000 hadi 50,000, Pia naomba na chimbo la cardet original zile nzito zisizochuja!
Natanguliza shukran
Naomba location na contacts za hilo chimbo hata inbox mkuu nitashukuru.Kuna jamaa ana duka la viatu kariakoo elfu 45 yeye anakuuzi laki 120 temeke
Kalaga Baho Nongwa !!!! braza duka gani wanauza hizi raba kwa jumla. Nazihitaji sana. Msaada wa eneo na duka
Congo tower hapo pandisha juu floor ya kwanza. Ulizia mchina anaitwa MauaKalaga Baho Nongwa !!!! braza duka gani wanauza hizi raba kwa jumla. Nazihitaji sana. Msaada wa eneo na duka
J'mos anafungua kakaCongo tower hapo pandisha juu floor ya kwanza. Ulizia mchina anaitwa Maua
YahJ'mos anafungua kaka
wapi chimbo lakeBei ya jumla 12000 reja reja sijui