Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Zezetaa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Mi nasisitiza tena ...wadada ukiona una shida imekushika na ukamuomba mpenzi wako msaada wa kipesa akakupiga chini, jitafakari tena ...kiufupi hupendwi hata kidogo[emoji848]

Maisha kusaidiana bana, leo kwangu kesho kwako!
 
"Kusaidiana" sas mbona nyinyi mnaelemea tu! nyie mnasaidia wap au ndo kutoa papuchi [emoji3]
 
Ha ha haa haa...eti kisishuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Kama unaona hizo pesa sometimes utazikosa nunua fire ext.. kwanza.
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story[emoji849]
Mwenzenu alikutana nae kwa daladala akiwa anarudi nyumban ukiachilia mbali ile kumuona kibarazani... Sasa hiyo lak 3 mnafikiri inawezekana kila mwezi??? Lazima alalamike sana tu maana amejeruhiwa. Pengine alijua atatumia wakitoka tu out na sio matunzo. #MuhuniKapatikana
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story[emoji849]
Turudishe jando aisee, hivi vitoto vya kiume vya siku hizi mbea wao, kudanga wao, majungu wao, kulia lia wao!! Sijui hata tunakosea wapi kuvilea[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story[emoji849]
Yaan utaki kukutana na manusura wa haya majanga kabisa unataka tuteketee kimya kmya[emoji28]
 
"Kusaidiana" sas mbona nyinyi mnaelemea tu! nyie mnasaidia wap au ndo kutoa papuchi [emoji3]
Kusaidiana kipesa na wewe sijamaanisha hayo unayoyasema[emoji57][emoji57]
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story[emoji849]
Kila mtu atafute ela zake mwenyewe, mambo ya kurudishana nyuma hayo tumeshayapiga teke, tunawaza mbele tu
 
Watu mnajifanya mna ela humu, hata ya kumtumia mamako unakosa, ila humu wewe ni tajiri
Kama wewe inakosa sio wote....maisha ulonayo sio lazima yafanane na wengine! Sisemi nina ela nyingi Ila kwa laki3 ya kumpa mpenzi ni ela ya kawaida kabisa...ila sio kwa wote.....kwaivo sio lazima iyo ela iwe ya kawaida kwako makasiriko ya nini sasa?
 
Kakuonea wivu kidume[emoji848][emoji848]
 
Mkuu Glenn umeongea ukweliii, wadada chukueni points hapa, Sema the bad side is, mdada alioko kimaslahi Kwako ni vigumu ku-act kama she is into u, Na ana feelings na ww, wakati kiuhalisia alichofata kwako ni hela tu, with little time Ahead utajua tu kuwa huyu sista ni golddigger Glenn witnessj Heaven Sent
 
Hila huwaga hazidumu kuna siku utagundua tu mkuu, ukiyumba kimapato utaona uso wako ulivyo hata ajifiche kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…