Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Mi nasisitiza tena ...wadada ukiona una shida imekushika na ukamuomba mpenzi wako msaada wa kipesa akakupiga chini, jitafakari tena ...kiufupi hupendwi hata kidogo[emoji848]

Maisha kusaidiana bana, leo kwangu kesho kwako!
Tatizo wadada mnaoomba pesa mda mfupi baada ya kutongozwa, mnafanya hivyo kwa nia ya kutukomoa, na sio kwamba mna shida kweli, ushaona mm kidume nina sura ya sokwe Na sikuvutii kingono ila kwa vile nimekushobokea na nimekutongoza, unaona bora uniakamue hela witnessj
 
Mi nasisitiza tena ...wadada ukiona una shida imekushika na ukamuomba mpenzi wako msaada wa kipesa akakupiga chini, jitafakari tena ...kiufupi hupendwi hata kidogo[emoji848]

Maisha kusaidiana bana, leo kwangu kesho kwako!
Hamna Cha Leo kwangu kesho kwako ninyi mnapenda kutumia hela zenu wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]

Ngoja nicheke kwanza, sio kuwa nimefurahi? No

We jamaa njoo na ID yako kongwe tueleweshane, unafikiri mimi sijui we ni nani? Hata kama umebadilisha muandiko! I know who you're [emoji848][emoji849]

Back to topic

Kwanini wewe uhisi utofauti mimi kukuelezea shida yangu? Mimi mfano nimepata tatizo na nimekuelezea vizuri ninahitaji msaada wako kama mpenzi wako, unapiga chini tatizo langu kwa hisia zako fake!

Sasa nisipokulilia wewe nimlilie nani?

Nimekuelewesha sasa!
 
Hamna Cha Leo kwangu kesho kwako ninyi mnapenda kutumia hela zenu wenyewe
Mkuu mi tu hunijui vizuri, but siwezi kuona mwanaume wangu ana shida nikashindwa kumsaidia never ever hata kama sina niko radhi nikakope mahali[emoji848]

Nini maana ya mahusiano sasa? Kama hatusaidiani?
 
Mkuu Sasa mtu anakupangia hadi muda wa kumpa pesa Kama hapo jamaa kaambiwa kila mwisho wa mwezi huo nao Ni msaada?
 
Mwambie utampa kwani una miradi mingi ambayo pia mkikutana mtajadili namna ya kuisimamia.Ukimtafuna block na namba yake.Kumbuka kuvaa kondom zile bora na sio bora kondom
 
Mwambie utampa kwani una miradi mingi ambayo pia mkikutana mtajadili namna ya kuisimamia.Ukimtafuna block na namba yake.Kumbuka kuvaa kondom zile bora na sio bora kondom
 
Mi nasisitiza tena ...wadada ukiona una shida imekushika na ukamuomba mpenzi wako msaada wa kipesa akakupiga chini, jitafakari tena ...kiufupi hupendwi hata kidogo[emoji848]

Maisha kusaidiana bana, leo kwangu kesho kwako!
Kusaidiana kwa kupangiana mishahara kabisa, inamaana ikifika mwisho wa mwezi utoe hela au uandae maelezo kwanini mshahara umekosekana au umechelewa mwezi huo.

Hapo kuna mapenzi kweli hapo !!?

Hii kauli ya kusaidiana sidhani Kama ina ukweli wowote na hata Kama inao basi 1% tu. Hapo hakuna cha kusaidiana bali mmoja ndio atamsaidia mwingine kisa na yeye atapewa K tu.

Kama kigezo cha kupendwa ni namna hii basi nadhani wadada biashara ya mapenzi itawalipa zaidi so changamkieni fursa .
 
Msaidie mwenzako...hakuna mtu anapenda kudhalilika
Msaidie you never know tomorrow![emoji848]
Hapana bidada huyo sio kumsaidia huyu anajua anacho kifanya yaani kwake yeye kuwa na mwanaume ni ajira.

Okay yeye kadai laki tatu kwa mwezi, namimi nisemeje sasa nimwambie atanipa K mara ngapi kwa mwezi?
Mana huu ni mkataba sasa.

Am sorry mkuu ila naweza sema huu ni ukahaba tu na hukuna mapenzi ya namna hii K yake bei ya chini ni laki tatu so inaweza kupanda pia.
 
Turudishe jando aisee, hivi vitoto vya kiume vya siku hizi mbea wao, kudanga wao, majungu wao, kulia lia wao!! Sijui hata tunakosea wapi kuvilea[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kama ni hivi basi hivi vitoto vya kike navyo vinahitaji msaada mkubwa sana waelimishwe kuwa k zao sio mtaji/kitega uchumi na kulipwa mshahara.

Huko jandoni sijawahi ona watu wakifunzwa kununua na kuweka bill za K kwa mwezi kama maji ya dawasco.
 
Ahsante kwa hii siri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Walaaa mwanamke matunzo babu wee[emoji108]
Hapana kwa mwendo huu mwanamke sio matunzo ila kuhongwa nadhani tukisema hivo tutakuwa sahihi zaidi.

Tumia akili piga vizinga na si kuweka kiwango Cha malipo kabisa kwa mwezi hapo ni biashara na sio matunzo tena.
 
Kwa hiyo tukifanya hivi tutakuwa tunapewa tu hela, eeh?
 
"Kusaidiana" sas mbona nyinyi mnaelemea tu! nyie mnasaidia wap au ndo kutoa papuchi [emoji3]

Turudishe jando aisee, hivi vitoto vya kiume vya siku hizi mbea wao, kudanga wao, majungu wao, kulia lia wao!! Sijui hata tunakosea wapi kuvilea[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Kila mtu atafute ela zake mwenyewe, mambo ya kurudishana nyuma hayo tumeshayapiga teke, tunawaza mbele tu

Hila huwaga hazidumu kuna siku utagundua tu mkuu, ukiyumba kimapato utaona uso wako ulivyo hata ajifiche kiasi gani
Kwa namna hii wimbi la ma single mama halito isha kamwe sababu mwanaume atatoa pesa tu ya kununua furaha ya muda mfupi (biashara maelewano) kesho akija na swaga eti anamimba jamaa haelewi sababu hawakuwa mahusiano bali ni biashara tu na kesha mlipa hivyo akapambane na hali yake ujira wake si kesha pewa.
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story🙄
Acheni hizo sasa yeye ata offer nini kama jamaa atatoa laki 3 kila mwezi muwe mnatumia hata tumbo tu kufikili
 
Acha maneno mengi bwana, we toa pesa bwana!
 
Kama ni hivi basi hivi vitoto vya kike navyo vinahitaji msaada mkubwa sana waelimishwe kuwa k zao sio mataji/kitega we chumi na kulipwa mshahara.

Huko jandoni sijawahi ona watu wakifunzwa kununua na kuweka bill za K kwa mwezi kama maji ya dawasco.
Ukienda jando utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…