Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Nilham achana na hao WEUPE. Mbegu nyeusi ndiyo safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilham achana na hao WEUPE. Mbegu nyeusi ndiyo safi.
makubwa haya......nashukuru kwa ufahamu....kumbe weupe siyo???? JF shule!!:clap2::clap2:
mkuukasome thread iliyoandikwa hii ndo hofu yangu iliyonisababishia kuaaga by Nilham
Thread ipi tena my dear? Mbona wanitisha nipe link niichungulie....
Yote yatakuwa sawa,ngoja apone kwanza Shossi.....huyo mgeni utuambie tumpokeee,si wajua tena watu wa Tanga mapokezi tunayajua..l.o.l
anything from my brother will be great....
we bibie anaumwa hata hujui
https://www.jamiiforums.com/mahusia...hii-ndio-ghofu-yangu-ilionipelekea-kuaga.html
Jumu la nazi, fenesi, vitoria, soda ya heltho, jumu la makopa, embe viringe, machungwa, mkono wa tembo mkungu mmoja, unga wa muhogo,na matunda damu maana sasa ndio msimu wake...utakuwa na nafasi kwenye friji lakini?
Mmmh Michelle hiyo picha!!!
mambo mapya hayo CPU,umeipenda???
my dia michelle, honestly sijaipenda hiyo avatar coz it doesnt represent your cuteness like da first one.
Pls if possible try to look for another one
ni wazo tu my dia, according to how i see it, u can accept or reject
What it do??tell her man.....who am i going to talk to now.....l.o.l
:twitch::twitch::twitch::twitch:Angalia hiyo ya AD ilivyo cute au ila yako ya awali . . . .
Mwanaume lijali utajilamba midomo
what it do??
Unataka TANGO?????Nina nafasi kaka yangu,asante sana,nasubiri kwa hamu......umenifanya nitamani kurudi nyumbani Tanga........:laugh::laugh: