Nakusihi NILHAM RASHED

Nakusihi NILHAM RASHED

makubwa haya......nashukuru kwa ufahamu....kumbe weupe siyo???? JF shule!!:clap2::clap2:

Hajajua pengine kuwa mpenzi wangu Nilham na yeye ni mweupe...by the way huyo jamaa mwambie nina kiwi nauza katoni shs 10,000
 
Yote yatakuwa sawa,ngoja apone kwanza Shossi.....huyo mgeni utuambie tumpokeee,si wajua tena watu wa Tanga mapokezi tunayajua..l.o.l

Najua dada usijali nitakutaarifu umpokee kwa shangwe na vigeregere, nipo njiani naenda Ngamiani unataka nikuletee nini?
 
anything from my brother will be great....

Jumu la nazi, fenesi, vitoria, soda ya heltho, jumu la makopa, embe viringe, machungwa, mkono wa tembo mkungu mmoja, unga wa muhogo,na matunda damu maana sasa ndio msimu wake...utakuwa na nafasi kwenye friji lakini?
 
Duh hili jukwaa noma! kumbe watu wanapanda wenzi wao hapa hapa, kila la kheri wadogo zangu.... Na Valentines Day ndo inakaribia inabidi tufanye JF Valentines Party
 
Jumu la nazi, fenesi, vitoria, soda ya heltho, jumu la makopa, embe viringe, machungwa, mkono wa tembo mkungu mmoja, unga wa muhogo,na matunda damu maana sasa ndio msimu wake...utakuwa na nafasi kwenye friji lakini?

Nina nafasi kaka yangu,asante sana,nasubiri kwa hamu......umenifanya nitamani kurudi nyumbani Tanga........:laugh::laugh:
 
mambo mapya hayo CPU,umeipenda???

My dia Michelle, honestly sijaipenda hiyo avatar coz it doesnt represent your cuteness like da first one.

Pls if possible try to look for another one
Ni wazo tu my dia, according to how i see it, u can accept or reject
 
my dia michelle, honestly sijaipenda hiyo avatar coz it doesnt represent your cuteness like da first one.

Pls if possible try to look for another one
ni wazo tu my dia, according to how i see it, u can accept or reject

tell her man.....who am i going to talk to now.....l.o.l
 
Angalia hiyo ya AD ilivyo cute au ila yako ya awali . . . .
Mwanaume lijali utajilamba midomo
 
Back
Top Bottom