antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
🚮🚮🚮Vitabu kama hivyo huandikwa na watu kama mkuu wa majeshi au usalama wa taifa wa ngazi za juu au mkuu wa polisi wa kipindi husika cha Raisi mhusika sio kaukuta wa barabarani anayeokoteza vitaarifa majalalani
Hata wasiotumia akili yao vizuri walitekwa na propaganda zake...by the time jpm anaaga dunia miradi ya sgr na stieglers ilikuwa imekamilika kwa kiasi gani?
..jpm alikuwa na makelele na propaganda nyingi, kwa mtu ambaye hayuko hapa nchini angeweza kufikiria miradi hiyo imekamilika.
Sio kweli kitabu chochote cha high profile person cha kwanza unaangalia aliyeandika ni nani? Pili kuna recommendation kule ndani wana recommend hicho kitabu kisomeke ni akina nani wa level ipi?Kwa hiyo Biography ya rais inatakiwa kuandikwa na mfalme, au?
Credibility ya kitabu inatokana na weledi & integrity ya mwandishi, siyo cheo..
Siyo kila mwenye ' rank ya juu' ana taaluma ya uandishi!
Unasema?Shida ni kwamba utoweza kupata watu wa kuthibitisha accusation zako.
Mapungufu ya Magufuli yapo wazi na watanzania wengi walikuwa tayari kuishi nayo; lakini kuuwa watu na kuwatupa baharini au udikteka hakuna watu wakununua hizo fikra za ya mahasimu wake.
Ni hivi Magufuli achafuliki, tafuteni namna nyingine ya kuongeza popularity ya Bi Tozo. Kwa ningekuwa mshauri wake ningetimua team ya public relations wanafanya kazi mbaya. Kumlinganisha na Magufuli ilo aliwezekani lini mtajifunza.
Kwani mkulima akiandika maandishi yanafutika?Sio kweli kitabu chochote cha high profile person cha kwanza unaangalia aliyeandika ni nani? Pili kuna recommendation kule ndani wana recommend hicho kitabu kisomeke ni akina nani wa level ipi?
Mfano kitabu kinaandika kuhusu ujasusi
Kuwa na credibility lazima kiandikwe na jasusi .Kuna kitabu cha ujasusi kinaitwa The economic hitman .Mwandishi alikuwa jasusi wa cheo cha juu sana wa kiuchumi. Na kimeuzika mamilioni ya ma kopi
Huwezi andika kitabu kuhusu Raisi wakati wewe ni mkulima tu wa Namtumbo kisa eti una press card
Acha uwongo wako. Zikitumika kumbukumbu za magazeti, mitandao na kuwahoji waathirika kama akina askofu Mwingira, Mo , Roma, Zitto, Kinana, mzee Makamba, Nape, mzee Diallo, Lisu, Membe, askofu Niwemugizi, askofu Kakobe, credibility itakuwa bado tu?Vinginevyo hakiwi na credibility sababu kitajaa umbeya tu usio na ushahidi
Wacha longolongo bhana!Sio kweli kitabu chochote cha high profile person cha kwanza unaangalia aliyeandika ni nani? Pili kuna recommendation kule ndani wana recommend hicho kitabu kisomeke ni akina nani wa level ipi?
Mfano kitabu kinaandika kuhusu ujasusi
Kuwa na credibility lazima kiandikwe na jasusi .Kuna kitabu cha ujasusi kinaitwa The economic hitman .Mwandishi alikuwa jasusi wa cheo cha juu sana wa kiuchumi. Na kimeuzika mamilioni ya ma kopi
Huwezi andika kitabu kuhusu Raisi wakati wewe ni mkulima tu wa Namtumbo kisa eti una press card
Hao walikuwa karibu na Raisi? Kumjua kwa undani?Acha uwongo wako. Zikitumika kumbukumbu za madaeti, mitandao na kuwahoji wahanga kama akina askofu Mwingira, Mo , Roma, Zitto, Kinana, nzeee Makamba, Nape, Lisu, Membe, credibility itakuwa bado tu?
[emoji1787][emoji1787]Kuwa makini usije nawewe ukapimwa mkojo
Naomba fursa ya kuandika dibaji tu ya kitabu chako. Ili nionyeshe kwa watanzania kuwa CC ya CCM na Jakaya Kikwette kama Mwenyekiti ni watu wa kushtakiwa kwa kutuletea Mrundi mwenye historia ya ugonjwa wa kichaa kuwa mgombea na Kisha Rais wa Tanzania.Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.
Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:
Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).
Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.
Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Hawa ni waathirika wa utekaji aliokuwa aakiufanya jiweHao walikuwa karibu na Raisi? Kumjua kwa undani?
Yapo mengi sana ya awamu ya nne wanajisahaulishaKama hautakuwa na double standard usisahau kuandika haya.
Dkt Ulimboka alivyong'olewa meno na kucha kwa kupambania maslahi ya madaktari.
Mwangosi alivyolipuliwa mabomu pale Nyololo Mufindi kwa kosa la kuhoji kuhusu kuzuiwa kwa mikutano ya Chadema, wakati ya CCM ikiendelea.
Utuambie na wale waliolipua mabomu pale Arusha kwenye mkutano wa Chadema wakafa watu.
Waliommwagia tindikali aliyekuwa mmiliki wa gazeti la mwanahalisi.
Waliomteka mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Kibanda.
kwani serikalini si wamejaa vijana sasa hivi mbona hamuwaulizi nn wanafanya kuwasaidia vijana wenzao.Aweso,bashungwa,mazunde,patrobas,nape,makamba,mwanafa,mhagama joseph,hao wote ni vijana na sitaki kutaja wote.je mummewauliza kwa nn hawawapiganii vijana?Page namba 100 andika namna faru John alivyopanda ndege,page namba 153 andika katika nchi yoyote vijana ndio wanajenga nchi na sio wazee ,vijana imabidi waondokane na mawazo ya kizee muda wao umepita maana kila siku wanatunga vitu vya kuwaumiza vijana ,fikiria Kwa mfano kijana anaiba Kura Kwa shilingi elfu 5000 halafu Leo yupo pale mansese analalamika maisha magumu wakati amesahau alikuwa ameiba haki za watu wengine,Kwa Sasa vijana wa Tanzania tuamke kama hatutaamka huku mbele tutalaumiwa na wajukuu na watoto ,mtoa mada usisahau Hili kuwaasa vijana mambo ya kufanya wasisiklize propaganda nakuombea Kwa Mungu ufanikishe Jambo lako
Titel au Title?Hakitakuw kitabu. Mana yote yamo. Umeshawahi kukubaliwa Titel ya Dissertation then Kadiri unavyofanya Research na kugundua mambo mapya unajiuliza ilikuwaje hata nikawa na Titel hiyo na Summary ikakubaliwa na Panel ya maprofessor. Basi anza unaweza Rudi kimya
Mkuu labda ukakichapa na ukiuze nje ya nchi, hapa Tanzania itakuwa ngumu.Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.
Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:
Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).
Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.
Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Mbona huyo mtu alikuwa ni mchafu tangu akiwa Ujenzi!!!!Shida ni kwamba utoweza kupata watu wa kuthibitisha accusation zako.
Mapungufu ya Magufuli yapo wazi na watanzania wengi walikuwa tayari kuishi nayo; lakini kuuwa watu na kuwatupa baharini au udikteka hakuna watu wakununua hizo fikra za ya mahasimu wake.
Ni hivi Magufuli achafuliki, tafuteni namna nyingine ya kuongeza popularity ya Bi Tozo. Kwa ningekuwa mshauri wake ningetimua team ya public relations wanafanya kazi mbaya. Kumlinganisha na Magufuli ilo aliwezekani lini mtajifunza.