Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

Wakati blog zikifungwa,hadi Jf walienda mahakamani,lakini watanzania walikaa pembeni,hata kwa hili unaweza kwenda mahakamani ukajikuta mwenyewe na mawakili wako,na watnzania wakakushangaa sana kwanini unakwenda kuwazungumzia.
 
Kwanza ni kinyume cha katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.

Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia kupeleka hoja za msingi mahakamani ili kuzuia watu zaidi ya milion 24 kupoteza mawasiliano.
Halafu Jumatatu inafika hakuna lolote
 
Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.

Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia kupeleka hoja za msingi mahakamani ili kuzuia watu zaidi ya milioni 24 kupoteza mawasiliano.
Ukiifungua kweli tuwasiliane. Nitasaidia kuwalipa hao mawakili. Lakini kama kawaida ya nyumbu, utaishia kutishia tu na utaungwa mkono. Anyway, nitakuwa nakukumbusha usisahau!
 
Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.

Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia kupeleka hoja za msingi mahakamani ili kuzuia watu zaidi ya milioni 24 kupoteza mawasiliano.
Nikweli hakuna sheria inayotamka mwisho wa kusajili line kwa vidole Ni tarehe 20, pili hakuna sheria inayokataza mtu asiyekuwa na kitambulisho Cha taifa kumiliki simu. Tatu sababu za kulazimisha mtu kumiliki simu Hadi awe na kitambulisho Cha nida hazina msingi
 
Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.

Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia kupeleka hoja za msingi mahakamani ili kuzuia watu zaidi ya milioni 24 kupoteza mawasiliano.
Mapato ya kampuni za simu yatashuka na serikali pia itakosa kodi kwa hayo mapato.

Wananchi hawaoni tabu kusajili line zao bali tatizo liko kwenye vitambulisho vya NIDA. Serikali ingengoja mpaka watu wote wapate vitambulisho ndipo waweke ukomo wa kusajili line kwa namba NIDA.
 
Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.

Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia kupeleka hoja za msingi mahakamani ili kuzuia watu zaidi ya milioni 24 kupoteza mawasiliano.
Watakukamata watakua kama @Bensaanane kiufupi kama watu waliweza kummiminia Lisa Marisasi kibao na Bado wakampora ubunge Jap sio binadamu wenzako.
Watakuua wewe wakaushie either wataondoshwa na Boeng 737 au Mungu akipenda mwenyewe au tusubiri 2025
 
Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.

Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia kupeleka hoja za msingi mahakamani ili kuzuia watu zaidi ya milioni 24 kupoteza mawasiliano.
UTUMBO MTUPU........ HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA UNACHOTAKIWA WEWE NI KUSAJILI LINE YAKO ILI UTEKELEZE HUO UHURU WAKO ........
KWANZA WEKA HAPA VIFUNGU VILIVYO KIUKWA
 
UTUMBO MTUPU........ HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA UNACHOTAKIWA WEWE NI KUSAJILI LINE YAKO ILI UTEKELEZE HUO UHURU WAKO ........
KWANZA WEKA HAPA VIFUNGU VILIVYO KIUKWA
Wewe ndio tuwekee kifungu kinachoweka ukomo wa usajiri
 
Sheria ya mawasiliano cap 306 ya 2010 kifungu Cha 93 ibara ndogo ya ii inatambua vitambulisho vinne katika usajili wa simu, na hili limetiliwa mkazo kwenye barua ya mkurugenzi wa tcra ya tarehe 17 July 2017

Vitambulisho vinavyokubalika kisheria Ni National I'd, TIN, driving licence na passport. Hivyo ukifungia laini iliyokidhi hivyo vigezo unaweza shitakuwa na kulipa faini na fidia kulingana na jedwali lililowekwa na mamlaka husika. Hivyo kuweni makini.

Hakuna sheria inayosema lazima usajili kwa NIDA, sheria unasema lazima line isajiliwe kwa kitambulisho kinachotambulika. Na vitambulisho hivyo vimeainishwa kisheria katika sheria namba 306 ya Mwaka 2010.
 
Ohooo kumbe, embu funua funua Mkuu Sheria zenu izi, ili nijihakikishie...

Nalain zangu mbili hapa nimezitegea.
 
mkuu hawa NIDA wanatupelekesha kama cc watumwa, hakuna mazingira bora yanayomsaidia mwananchi kupata kitambulisho kwa wakati, kumekuwa na usumbufu mkubwa sana kupata namba ya NIDA, vitendea kazi hamna kabisa baadhi ya maeneo ,watu husafiri umbali mrefu na kujikuta wametumia gharama sana katika kupata huduma....serikali iliangalie hili swala, waongeze mda mpaka julai ili kujitathimini ili kutoa lawama utoka kwa watu
 
Ukweli ndio huo hakuna sheria inayoamuru line kufungwa sheria inawaamuru makampuni ya simu kusajili line kwa vigezo na Kama mteja katimiza vigezo kulingana na sheria cap306 ya 2010 ibara ya 93 ibara ndogo ya pili hawana haki ya kuzima hiyo line. Kama line yako ulitumia driving licence au barua ya mtaa kajipange nida hamna namna
Mbona kama vile unajinyaga mwenyeww pale juu umesema sheria inasema driving licence inafaa, hapa unasema kama tumetumia driving licence tukajipange NIDA.
Mkuu embu fafanua kidogo hapo kwa national Id ni ipi yaani?
 
Kwani ni kampuni ya simu ndo inafunga laini mkuu? au ni TCRA chini ya agizo la serikali, mimi naona makampuni hayana hatia kwenye hili swala

Sent using Jamii Forums mobile app
Agizo la serikali linakuwa halali linapotangazwa kwenye gazeti la serikali na kupewa GRN # na hutolewa na waziri mwenye dhamana, mpaka Sasa Kangi Lugola hajatoa agizo kupitia GRN hivyo zoezi Zina Ni batili na sihalali
 
Tatizo siyo kampuni za simu, hapa ni serikali chini ya mamlaka ya mawasiliano TCRA.
Kwa kufuata vifungu hivyo vya sheria kama ulivyoorodhesha, mamlaka ya mawasiliano ifikishwe mahakamani kuwazimia mawasiliano watumiaji wa simu kinyume cha sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni agizo kutoka kwa magufuli fahamu hiyo sheria itapinduliwa
Rais hajasema mkajisajili nida kasema tusajiri laini zetu, na vigezo viko wazi, msimlishe maneno, nayeye pale chato akisajiri line yake ya Airtel hakujiandikisha nida
 
Back
Top Bottom