DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Mbona hamkulalamika usajili ulipoanza? Kwanini mwalalamika mwishoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ikitokea zoez la kuzima sim likafanyika kama hivi na bado watu wakapokea ujumbe huo huo kwa No hizo hizo na serkali ikashindwa kuwakamata, utasemaje? Kuna haja ya kuwaelimisha wananchi pia kuhusu umakin kwa kila jambo. Uarifu huu ni matokeo ya elim ndogo mno kwa wahanga na uzembe pia. Nchi jiran tu kenya humwibii mtu kizembe hivi. Na wizi hubadilika na huenda ikaja mbinu mbaya zaid. Mpaka leo naamin mambo ya tuma humu si sehem ya sabab za mkazo wa usajiri huu. Basi tu maisha yamekuwa siasa na siasa imekuw maisha.Na uhakika utakuwa mmoja wa wale wa tuma kwenye namba hii 😆😆😆😆😆, huu ni ushamba. Unachotakiwa kufanya ni kuomba, hata Mimi ukifungua Kesi na Mimi nakufungulia kwa kuwaibia Watanzania kwa kutumia cm.
Kwani haya hayawei kufanyika leo? Hayawezi kuwa forged leo?Umeasahau passport za zamani ilikuwa sio lazima upeleke cheti cha kuzaliwa, kuna waliopeleka affidavit tu ambazo ni rahisi kughushi(forge), unaenda na mtu yeyote mahakamani au kwa mwanasheria unasema alikuwepo nilipozaliwa kisha unalipia stamp duty haifiki mwekundu wa msimbazi mmoja au balimi 5.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya wapiga kura haikuwa lazima kutambuliwa nambari ya nyumba au kitalu kwa wakazi wa mijini ambako wageni ni wengi.
Hivi idara ya uhamiaji wana hakiki au wana gonga muhuri tu. Hivi wana nyenzo gani wanatumia kutambua huyu ni mtanzania au siyo?Wewe nawe msahaulifu mkubwa zaidi.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya mpiga kura au leseni ya udereva hakukuwa na uhakiki/usahili wa idara ya uhamiaji kujiridhisha uraia wa muombaji.
Umesahau ktk vitambulisho vya kura hakukuwa na uwasilishaji cheti cha kuzaliwa.
Umeasahau passport za zamani ilikuwa sio lazima upeleke cheti cha kuzaliwa, kuna waliopeleka affidavit tu ambazo ni rahisi kughushi(forge), unaenda na mtu yeyote mahakamani au kwa mwanasheria unasema alikuwepo nilipozaliwa kisha unalipia stamp duty haifiki mwekundu wa msimbazi mmoja au balimi 5.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya wapiga kura haikuwa lazima kutambuliwa nambari ya nyumba au kitalu kwa wakazi wa mijini ambako wageni ni wengi.
#Ujuaji mwingi mbele giza.
#Waacheni wenye wajibu na taaluma zao wafanye kazi zao kitaalamu, sio kila kitu siasa.
Kama walivyozinduka jana kwenye mnada wa Dakawa Morogoro na kuonyesha hisia zao dhidi ya watesi wao.Wa-Tanzania watakapozinduka ndiyo mwisho wa Dunia utafika. Wacha wakumbatie ujinga na ccm kwani ni kama yai na kuku!
Mkuu nawe pia moyoni mwako umeamini kabisa kuwa ni kweli fingerprints zishachukuliwa sasa kuna hoja gani ya nguvu ktk suala la ukweli?Umeandika kwenye mada yako;
''Wenye akili wameshasoma mchezo, kuna kitu kinatafutwa hapo, kwa sababu fingerprints Tayari watu walishachukuliwa kwenye Vitambulisho vya kura na Driving Licence,sasa kuna haja gani ya kutesa watu kiasi hiki?''.
Ni kitu gani kinachotafutwa? Naomba unielimishe!
Nimekuomba unielimishe kwa sababu kwa sasa hapa Jamiiforums kumejitokeza baadhi ya wanachama ambao wanadhani hisia zao ndio ukweli lakini kibaya zaidi wanataka kuwalazimisha na watu wengine kwa hoja za nguvu waamini hisia zao!
Kweli bwana zile pesa ambazo bwana yule alijengea uwanja wa ndege kwenye majaruba ya mpunga zilitosha kabisa kuwawezesha NIDAKigezo ni kimmoja kimataifa ni ID ya taifa.
Tokea uhuru jambo hilo ilipuuzwa.Japo Kenya ilikuwa inatoa ID.
ID inaweka msukumo wa kuwa na cheti cha kuzaliwa.
ID inatumika kupewa Passport, ajira, mikopo,kupiga kura,driving license, dhamana,bima,hati za mali,kufunga ndoa,kufungua account bank n.k
Takwimu zake ni kiunganisho cha mtu kutambuliwa kitaifa hadi kimataifa.
Serikali itaendelea kubeba lawama kwa kupuuza ID kwa muda mrefu bila sababu ya msingi.
Japo tunaambiwa ni zoezi endelevu ni ukweli usiopingika kuwa NIDA haina nyenzo,watu,fedha za kutosha.Ilitakiwa Marshall Plan.NIDA ina umuhimu hata kuliko kuhamisha makao makuu kwenda Dodoma.
Historia itawahukumu.
Kwa hiyo National ID ndo itatumika kupiga kura?Wewe nawe msahaulifu mkubwa zaidi.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya mpiga kura au leseni ya udereva hakukuwa na uhakiki/usahili wa idara ya uhamiaji kujiridhisha uraia wa muombaji.
Umesahau ktk vitambulisho vya kura hakukuwa na uwasilishaji cheti cha kuzaliwa.
Umeasahau passport za zamani ilikuwa sio lazima upeleke cheti cha kuzaliwa, kuna waliopeleka affidavit tu ambazo ni rahisi kughushi(forge), unaenda na mtu yeyote mahakamani au kwa mwanasheria unasema alikuwepo nilipozaliwa kisha unalipia stamp duty haifiki mwekundu wa msimbazi mmoja au balimi 5.
Umesahau wakati wa vitambulisho vya wapiga kura haikuwa lazima kutambuliwa nambari ya nyumba au kitalu kwa wakazi wa mijini ambako wageni ni wengi.
#Ujuaji mwingi mbele giza.
#Waacheni wenye wajibu na taaluma zao wafanye kazi zao kitaalamu, sio kila kitu siasa.
My Son drink water,
Umesahau na passport, yaani mpaka hivi vidole vyangu vimeanza kufutika hizo alama kila siku wanaviramba, hata ukisafiri pia wanaramba vidole, I’m tired